Locci
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 1,002
- 826
acha uongo wewe!!unavunga.....??napelekana wapi na manyimbo za kiswahili...
ata kwa TV za Kenya ni kina kiba nawaonanga tu..sijui Jo Makini,diamond,ommy dompoz na venessa...hao ndio nawajua vizuri
acha uongo wewe!!unavunga.....??napelekana wapi na manyimbo za kiswahili...
ata kwa TV za Kenya ni kina kiba nawaonanga tu..sijui Jo Makini,diamond,ommy dompoz na venessa...hao ndio nawajua vizuri
Tanzania tunawachapa kila siku kila kitu ila umasikini na ushamba wanatutwanga hands down.Ichoboy kujeni mchukue hawa mavijana wenyu, wataibishwa bureView attachment 793080 View attachment 793081 View attachment 793082 View attachment 793080 View attachment 793081 View attachment 793082
Tanzania tunawachapa kila siku kila kitu ila umasikini na ushamba wanatutwanga hands down.
Hii Yanga ndo ile timu iko na ifisi kubwa kushinda ya Gor ama hii ni ingine? Hahaha....si wangeingiza ile ofisi wabongo wanatuonyesha hapa iwafungie mabao. Juzi waltwangwa na MC Algiers sasa KK Homeboyz
Wanakuja kulia kenyani hujumaa
fasta fasta......tunaamsha
yanapatikana kenya tu hayodah aiseee sijapata kuona😀😀😀
yanapatikana kenya tu hayo
lol mnafukua kila kisa kama tanzanite.....huhuhu
nifundishe jinsi yakutuma pesa M.pesa sijui boss .....ushamba umenitawala nifunzeYanga tumeitwanga jinsi mombasa hutwanga Tanzania. Kama kawa kama Dawa povu ruksaaa 😀
Yanga tumeitwanga jinsi mombasa hutwanga Tanzania. Kama kawa kama Dawa povu ruksaaa 😀
Haiyani thought ofisi na basi zitawasaidia washindeYanga yenu inaumizwa huku na team ndogo. Hahaa
no no this building is located in tanzania.
