Yanga yenu inaumizwa huku na team ndogo. Hahaa

Kama ingewezekana hao followers wa Twitter waingie uwanjani wawafungie angalau bau moja, ingekuwa vyema sana. I believe that hata yanga wako na followers wengi kushinda KK homeboyslz but hao followers hawakuwasaidia kupata kichapo cha mabao matatukwenye club level mimi sio shabiki wa yanga,so ni sawa tu ilivyofungwa leo.
timu yangu ninayoishabikia ni simba sports club ambao ndio mabingwa wa ligi kuu ya tanzania mwaka 2017-2018.
kuna katimu ka wakora na machokoraa wa kariobangi watakabiliana na simba sport club katika mashindano ya sportpesa kesho.
katimu kenye followers 1697 instagram kataenda kukabiliana na giant mwenye followers 277K.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 793260View attachment 793261View attachment 793262
nisiongee maneno mengi sana tusibiri hiyo kesho cos mpira ni dakika 90, mpira sio maneno ya kwenye social media.
tusubiri hiyo kesho.Kama ingewezekana hao followers wa Twitter waingie uwanjani wawafungie angalau bau moja, ingekuwa vyema sana. I believe that hata yanga wako na followers wengi kushinda KK homeboyslz but hao followers hawakuwasaidia kupata kichapo cha mabao matatu
kariobangi slum hehhehe vijana wasio na kzi waliokata tamaa na maisha ndio wanacheza😀😀😀kwenye club level mimi sio shabiki wa yanga,so ni sawa tu ilivyofungwa leo.
timu yangu ninayoishabikia ni simba sports club ambao ndio mabingwa wa ligi kuu ya tanzania mwaka 2017-2018.
kuna katimu ka wakora na machokoraa wa kariobangi watakabiliana na simba sport club katika mashindano ya sportpesa kesho.
katimu kenye followers 1697 instagram kataenda kukabiliana na giant mwenye followers 277K.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 793260View attachment 793261View attachment 793262
nisiongee maneno mengi sana tusibiri hiyo kesho cos mpira ni dakika 90, mpira sio maneno ya kwenye social media.
ni mafanikio ya team tuoneshe za kwenu basiHaiyani thought ofisi na basi zitawasaidia washinde
Huu mlima ni shamba letu la bibi yani tunamla hadi tigo mpende msipende. Povu ruksaaaviva tanzania...wanatamani coordinate za mlima kilimanjaro ziwe zinaonyesha mlima upo kenya.
wamebaki kula kwa macho.
View attachment 793251
Huku kwetu mabasi kama hayo ni ya shule za upili zinatembelea na watoto...kweli Tz ni ya 90s Hadi tunawachapa kama burukenge ... Kakamega Home boyz 3 - 1 Y-Anger ndo maana hasira 😀ni mafanikio ya team tuoneshe za kwenu basi
tena team za tanzania zinatengeneza pesa na ziko kibiashara zaidi 😀😀😀😀
View attachment 793319
View attachment 793320
sasa tuoneshe mafanikio ya team ya gor mahia angalau tuone ofisi yao heheheh 😛😛😛😛
Sawa. Na ujue followers hawachezi mpirakwenye club level mimi sio shabiki wa yanga,so ni sawa tu ilivyofungwa leo.
timu yangu ninayoishabikia ni simba sports club ambao ndio mabingwa wa ligi kuu ya tanzania mwaka 2017-2018.
kuna katimu ka wakora na machokoraa wa kariobangi watakabiliana na simba sport club katika mashindano ya sportpesa kesho.
katimu kenye followers 1697 instagram kataenda kukabiliana na giant mwenye followers 277K.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 793260View attachment 793261View attachment 793262
nisiongee maneno mengi sana tusibiri hiyo kesho cos mpira ni dakika 90, mpira sio maneno ya kwenye social media.
yanga team B ndio mumecheza nayo team A iko huku hata leo imecheza😀😀😀😀Huku kwetu mabasi kama hayo ni ya shule za upili zinatembelea na watoto...kweli Tz ni ya 90s Hadi tunawachapa kama burukenge ... Kakamega Home boyz 3 - 1 Y-Anger ndo maana hasira 😀
Huu mlima ni shamba letu la bibi yani tunamla hadi tigo mpende msipende. Povu ruksaaa
Mafanikio ya team inakuanga uwanjani, sio kumiliki magari zinazotumiwa na shule za upili huku Kenya. Kama team inapigwa kila kukicha sasa iko na mafanikio gani? Alafu team za tz ziko na pesa gani wakati hata mfadhili wa hizo team zenu ni Sportpesa ya huku kwetu?ni mafanikio ya team tuoneshe za kwenu basi
tena team za tanzania zinatengeneza pesa na ziko kibiashara zaidi 😀😀😀😀
View attachment 793319
View attachment 793320
sasa tuoneshe mafanikio ya team ya gor mahia angalau tuone ofisi yao heheheh 😛😛😛😛
weka picha, acha porojo..Mafanikio ya team inakuanga uwanjani, sio kumiliki magari zinazotumiwa na shule za upili huku Kenya. Kama team inapigwa kila kukicha sasa iko na mafanikio gani? Alafu team za tz ziko na pesa gani wakati hata mfadhili wa hizo team zenu ni Sportpesa ya huku kwetu?
unaishi slum kwani...ni kuchafu aje...maplastic tu
siishi hapo nilikwenda kwa jamaa tu napoishi ni hapaunaishi slum kwani...ni kuchafu aje...maplastic tu
siunaona sasa ujinga uliokua nao sasa kama unashinda uwanjani alf huna mafanikio ya team kimaendeleo kuna faida gani hapo ikiwa hata ofisi hakuna uwanja wa mchezo hakuna gari ndio hilo bovu la tuzo😀😀 alaf jnasema maendeleo ni uwanjani sijui kama unajua maana halisi ya developmentMafanikio ya team inakuanga uwanjani, sio kumiliki magari zinazotumiwa na shule za upili huku Kenya. Kama team inapigwa kila kukicha sasa iko na mafanikio gani? Alafu team za tz ziko na pesa gani wakati hata mfadhili wa hizo team zenu ni Sportpesa ya huku kwetu?