Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ubaya ni kwamba hamujui kufanya research before posting things here on jf. This same website quotes Tanzania's unemployment rate at 10.30% against Kenya's 11%. Thatbone aside, you should have looked at the different important statistics provided by the site like Minimum Wage, Living Wage Individual, High Wage Skilled, Living Wage Family etc between these two countries. Kenya scores high on all these yet mnapiga kelele hapa. Fir instance, Living Wage Individual in Tanzania is 305,500 (approximately Ksh15,000) while in Kenya it stands at Ksh24,000. Hakuna siku Tanzania itashinda Kenya in anything
Jamaa wewe mjinga sana. Economic hujui. Au u ataka tukufundishe uchumi? Unajua maana ya PPP.
 
angalau kidogo aende akatoe tongotongo... aachane na ule ujinga wake wa tour za mashinani.
IMG_20180603_155234.jpg
 
hahaaa we jamaa ulisema na aslay humjui..!!hadi nandy humjui... basi we hukai nairobi utakuwa unaishi korogocho ndani ndani huko vijijini!!pole sana..
napelekana wapi na manyimbo za kiswahili...

ata kwa TV za Kenya ni kina kiba nawaonanga tu..sijui Jo Makini,diamond,ommy dompoz na venessa...hao ndio nawajua vizuri
 
napelekana wapi na manyimbo za kiswahili...

ata kwa TV za Kenya ni kina kiba nawaonanga tu..sijui Jo Makini,diamond,ommy dompoz na venessa...hao ndio nawajua vizuri
Basi tembelea hapa ujifunze kidogo.
Wasafi
Mtaendelea kupig chabo tu TZ inasonga mbele.
 
Back
Top Bottom