Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuwa nikisema hapa miaka mingi kuwa uwezo tunao ila nimekuwa nikibezwa kuwa ni nadharia tuu.

Unajua majority ya watu wanahitaji ruhusa ya kufanya mambo, ni watu wachache sana wenye uthubutu wakufanya maamuzi yao wao pekeyao. Alichokifanya Rais ni kuwapa watanzania permission ya kutambua kuwa tunaweza. Tunaweza kumwambia Barrick hapana, tunaweza kuwaambia wajerumani, "kama hamtatupa mkopo wa kujenga SGR tutajenga kwa fedha zetu".

Na hii ndiyo sababu hasa ya Magu kuchukiwa na mabeberu, yeye anawafumbua macho waafrika wengine na kadri siku zinavyoenda itaondoa unyonyaji Afrika.

Ila Magu noma aisee, kila kitu anachofanya kinabarikiwa, na anajua kuruka viunzi na mitego mingi. Ona ishu ya Kibiti, makinikia, bwawa la umeme (watu wa mazingira), kununua ndege (Leo imeenda India kubebea wabongo), hivi vyote vilikuwa ni visiki vikubwa sana. Na sasa hii Corona anavyoipangua, hata Maradona haoni ndani.
Umesahau Marekani walijitoa kwenye mradi wa umeme wakati huo pamoja na msaada wao tulikuwa na vijiji elfu mbili na uchafu vyenye umeme, sasa kuna vijiji zaidi ya elfu tisa vyenye umeme na 2021 wanataka wamalize vijiji vyote nchi nzima.
 
Yaani Kuna time hata sisi wanaotuita fanatic wa JPM kimoyo moyo tunaona kama mzee kayumba kwenye certain issue lakini mwisho wa siku anatu outsmart mpaka aibu

Kitu kikubwa nilichokiona kwa JPM ni special charisma, vision yake sio ya binadamu wa kawaida, na ni mtulivu sana kwenye kufanya maamuzi, hakurupuki wala hafati mkumbo lakini mwisho wa siku anakuwa genius.
Huyu jamaa usikurupuke naye mwanzo kwa sababu ana hulka ya kuibuka na ushindi mwishoni hiki kitu hata wapinzani hawajikielewa wanakuwa wepesi kumuattack mwanzo badala ya kusubiri kwanza.
Jamaa alichukua form ya urais hakuwa hata na uhakika wa 10% kwamba atakuja kuwa raisi, majina yalikuwa membe na lowassa. Nyota yake inayong'aa mwishoni ilianza kufanya kazi hapa, hata January Makamba alikuwa na nafasi kubwa kushinda Magu lakini kilichotokea anajua Mungu tu.
 
Yes Hii ya Geita ni habari ya kusogeza tu siku nahisi

CCM ndo wamiliki wa viwanja vingi..waweke budget hata 10-15bil Tsh ku rehab CCM Kirumba...
Kuwa na capacity hata 50k from present 35k iwe na seats , vyoo vizuri, vip and tv stands and rain roof cover for specs,.ground systems,restaurants uwe uwanja wa kisasa ..hii itatusaida ku host tournamets kama Afcon
Tukiwa na
1. National Stad Dar 60k
2.New Dodoma Stadium 80k
3.Ccm Kirumba Mwanza 50k
4...Amani Stadium Znz ukiwa rehab ukafika 30k

Tuna host vizuri afcon



Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanja vyote vya CCM si rahisi kukarabatiwa, dar viwanja vyake ni vya serikali ndio maana vinakarabatiwa, CCM sidhani kama wana pesa ya kukarabati viwanja na serikali haiwezi tenga pesa kukarabati viwanja vya Chama.
Hapa ni either Chama kiachie viwanja kitu ambacho si rahisi au TFF ama mikoa husika wavinunue hivi viwanja Toka CCM ili serikali ivihudumie, mfano pale mza ni rahisi kujenga uwanja mpya kuliko kukarabati CCM kirumba zogo lake halitapata suluhisha.
 


EYHjALnXsAAWfEb



#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Back
Top Bottom