Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ispokua ushabiki wa kitoto treni hizo mbili hazina tofauti kubwa
Hivi huoni hata aibu, ona tuu engine ya hiyo yenyu, imechukua 3/4 ya locomotive wakati hiyo ya Bombardier sehemu kubwa ni vioo, heat loss is negligible. Huwezi linganisha ufanisi wa electric locomotives (high quality energy source) na diesel locomotives (low quality energy source).
 
Difference ya speed between izo vichwa viwili haijapita 20km/h (note ya kenya inaeza kua upgraded na speed kuongezeka)
As i have said mkaacha mihemko na mkaanza kujadili kitaalamu mtaona the difference is not that much..alafu hiyo reli yenu ni far from a bullet train
Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri upgrade ni kuweka nyaya za stima tuu. Kutoka 80km/h mpaka 160km/h specs nyingi inabidi zibadilishwe, ikiwemo tuta la reli (gradient and cant), yaani reli yote inabidi ifumuliwe.
 
We we ukisikia Kenya inamimba jua zisha kuja endelea kuangalia tumbo lako mudu mfupi tu utaona kimimba hapo Kenya kutakuwa mshike mshike Nani kaipa mimba Kenya jibu ni tz ndipo baba mwenye nyumba Uhuru kunyamba atanyoshewa vidole na kutukanwa na wakenya nchi nzima zipo tz inaipa Kenya mimba kizembe zembe tena mimba kama 20 hivyi toka magu kuwa raisi ,
1)Kuna mimba ya ndege
2)Kuna mimba ya mamilionea
3)Kuna mimba ya BRT false1
4)Kuna mimba ya flyover zenye kuzingatia brt system5
5)Kuna mimba ya SGR ya Umeme
6) Kuna mimba bwawa la Umeme
Nk.....

Send by APOLO 1
Hasira mbaya mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tuna mpango wa kununua ngapi EMU's 6 au...

Price ya moja ni 156mil USD sio mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
leta exidence!

Bombardier to deliver 300 Talent 3 trains in Austria for $1.9bn
SHARE
BombardierTalent_3_edit.JPG

Bombardier has signed a $1.9bn framework contract with national railway operator Austrian Federal Railways (OBB) for delivery of up to 300 Talent 3 trains in the country.

Under the new framework agreement, OBB will have an opportunity to make several call-offs for trainsets used for both regional and suburban rail transport.

Signed on 27 December 2016, the first call-off order under the framework contract is 21 Bombardier Talent 3 electric multiple units (EMUs) valued at a list price of nearly $156m.

Scheduled to be delivered in 2019, the new regional trains are intended to increase local passenger transport capacity for both daily and leisure users.

The enhanced capacity will help boost the link between rural and urban areas in both Austria's Vorarlberg region and also neighbouring countries.

Bombardier Transportation Austria managing director Christian Diewald said: "This framework agreement represents a huge success for Bombardier. OBB is one of Europe's most renowned and punctual railways.

"With the Talent 3 train, they have chosen a product with high-acceleration power and an exceptional reliability, which will help them maintaining their ambitious train schedules in geographically demanding regions."

"The Talent 3 train will help maintain ambitious train schedules in geographically demanding regions."
The modern Talent 3 EMUs facilitate low-energy consumption, operational flexibility and reduced lifecycle costs.

The Talent 3 trains feature the widest carbody in class and provide an increased seating capacity by up to 50% compared with older models.

The vehicles also allow fastest passenger exchange along with providing optimum travelling comfort.
In Europe and Canada, a total of nearly 1,400 trains of the Talent fleet are currently in-service, with 187 operated by OBB in Austria.

In addition, Bombardier has launched the advanced Innovia Metro 300 train service in Kuala Lumpur in collaboration with Malaysian company Hartasuma.

Image: Bombardier Talent 3 train for OBB in Austria. Photo: courtesy of Bombardier.

Bombardier to deliver 300 Talent 3 trains in Austria for $1.9bn


MY TAKE
1 BEMU with 6 cars is around $7.5 mln na si $156 mln kama unavyodai! Hiyo $156 mln ni bei ya 21 units! Na kwa hiyo $1.9 bln ni bei ya 300 units ambapo bei ya unit moja ni $6.3 mln!

Mind u a passenger coach in SGR Kenya costs around $1 mn n if we go according to what they have their 6 cars train will be $6 mln assuming the locomotive is $1 mln a thing i doubt since the engine wagon is usual more expensive and lets say 1.5 mln then a 6 cars unit is $1 mln*4 + 1.5 mln *2 i.e. around $7 mln for DMU!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Nafikiri JPM kaliona si ajabu bajeti ijayo zikatengwa pesa nyingi kwa meli za mizigo ziwa Tanganyika.
Nafikiri meli iwe suluhisho la muda mfupi nimeangalia upana wa ziwa ni 50km kwa wastani, kama DRC wangekuwa na ubavu kidogo tunagawana 25km each. Daraja la mwanza ni km 3.2 linakula 700b. Kwa hesabu za haraka trillioni moja ni 4km so 25km itakuwa ni trilioni 6.25, ziwa Tanganyika lina kina kirefu so tufanye iwe 8T, liwe daraja la njia 6 au 8 na njia mbili za sgr, tufanye jumla ni trilioni 10 kwa kila nchi, tunaamua lipite wapi, juu ya maji, ndani ya maji au chini ya maji, mfano ujenzi uanze 2025 uchukue miaka 10 by 2035 linakamilika kila nchi inakuwa inatoa trilioni 1 kila mwaka,
Ni mawazo yangu tu. 🤣
Mzee mahesabu mazito hayo si rahisi hivyo miradi ya Mchina hiyo! nadhani to be more practical $150 mln inaweza kutupatia wagon ferries zisizopungua 7! Na uzuri wa wagon ferries hazi-limit destination to a particular shore kama daraja! Unaweza kutokea Kigoma ama Kasanga port ama sehemu yeyote yenye bandari Lake Tanganyika na kufikisha mzigo kwa urahisi bandari yeyote DRC Kalemi, Bujumbura port au hata Mpulungu port huko Zambia! Kumbuka wagon ferries zinaweza kubeba malori pia!
 
Back
Top Bottom