Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
lol kuna huyu ndezi komora096 alikua anafananisha umaarufu wa JPM na takataka gani sijui huko Nairobi inaitwa johoMwendo wa kiswahili watatafsri wenyewe. Kama huna mvuto hata uongee kiingereza kushinda Queen hamna atakaye kusikiliza.
Yaani hata makonda anaejadiliwa na Pompeo huwezi fananisha umaarufu wake duniani na uhuru kenyatta

