Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaitwa locusts train 😂 😂
[/QUOTE]

Wewe hesabu za algebra zilikua zinakupiga sana chenga.
King cobra ametanguliza ulimi kabisa asipotee njia:
Rechargable Trains.png
[/QUOTE]
 
Hizi nyumba za Ubungo Maji natamani mtu aje anunue ili eneo na kujenga towers ama mall maana zimekaa hovyo!
Kila nikipita pale af na imagine flyover ikikamilika patatoa show mbaya....

I wish the same zitoke hizo nyumba af kijengwe kitu kimoja matata au paachwe tuu pending pawe kama park

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huoni hata aibu, ona tuu engine ya hiyo yenyu, imechukua 3/4 ya locomotive wakati hiyo ya Bombardier sehemu kubwa ni vioo, heat loss is negligible. Huwezi linganisha ufanisi wa electric locomotives (high quality energy source) na diesel locomotives (low quality energy source).
Yaani sehemu ya hivyo vioo vya mtungi wa chang'aa,ni kama ilitengenezwa na mafundi gereji.
 
Back
Top Bottom