Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Austria wamenunua za 1.9bn usd
Screenshot_20200515-135648.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila JPM inabidi kutafuta njia mbadala, hivi vinchi landlocked huwa vina wivu sana si Zambia hata Rwanda! Aaangalie uwezekano wa kuwa na wagon ferries nne hivi Lake Tanganyika kwa ajili ya kuhudumia the big apple DRC! Kwanza njia ni fupi!
Nafikiri JPM kaliona si ajabu bajeti ijayo zikatengwa pesa nyingi kwa meli za mizigo ziwa Tanganyika.
Nafikiri meli iwe suluhisho la muda mfupi nimeangalia upana wa ziwa ni 50km kwa wastani, kama DRC wangekuwa na ubavu kidogo tunagawana 25km each. Daraja la mwanza ni km 3.2 linakula 700b. Kwa hesabu za haraka trillioni moja ni 4km so 25km itakuwa ni trilioni 6.25, ziwa Tanganyika lina kina kirefu so tufanye iwe 8T, liwe daraja la njia 6 au 8 na njia mbili za sgr, tufanye jumla ni trilioni 10 kwa kila nchi, tunaamua lipite wapi, juu ya maji, ndani ya maji au chini ya maji, mfano ujenzi uanze 2025 uchukue miaka 10 by 2035 linakamilika kila nchi inakuwa inatoa trilioni 1 kila mwaka,
Ni mawazo yangu tu. 🤣
 
Ukitumia akili hawa watu wamerundikana hivi tayari ni risk, si bora waende kazini kuzalisha na mrundikano sio wa hivi
hahah ndo maana yake sasa hapo wana njaa na still wanapata coronvirus! Si bora wangepata wakiwa wameshiba? Maombi ya chaukula yashaanza huko Kenya!




#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
hahah ndo maana yake sasa hapo wana njaa na still wanapata coronvirus! Si bora wangepata wakiwa wameshiba? Maombi yashaanza huko!


Halafu unajua mlo ukiwa sio mzuri corona ndio inakuwa hatari zaidi, hauwezi pata lishe bora kwenye vyakula hivi vya msaada, watu wote mnaamriwa mtakula nini hata kama huna hamu nacho au hukipendi.
 
Bla bla mingi, simply tu Kenya demand ni kubwa sababu they are lazy lame asses, can't work
View attachment 1450621View attachment 1450622

its because they are neighbouring: before tanzania kenya used to buy maize from mexico, with the east africa community people trade within themselves easily and its just a border away which means even the cost is reasonable! do you think kuna mtu ana ham kuuza tz? with which prices? while you can sell the same same to kenya with a higher price.. i bet you have never lived anywhere near the border in moshi utaelewa what am saying
 
Back
Top Bottom