kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Cant waste my data watching nonsence
Hehe umesahau hii so passenger train,najua huwezi ileta kwasababu is cute than that locusts trainWe angalia tu hivyo video dakika ya 2:30 hata huyo mtangazaji anaonyesha kukata tamaa na hicho kichwa cha mbogo! 😀 😀
The photos are not of poor quality, this city itself is full of uswazi behind the blues towers,that's why 😂 😂 😂 😂Sgr station ya Dar Es Salaam inakuja vizuri. I apologize for the poor quality of the photos View attachment 1450269View attachment 1450270View attachment 1450274
The photos are not of poor quality, this city itself is full of uswazi behind the blues towers,that's why 😂 😂 😂 😂
Wacha kabisa Mkuu dude hilo km US, yn huu uzi umewasaidia sn wakenya wameona tofauti iliyopo kati yetu na wao, tuko mbele yao kwny mambo mengi [emoji3][emoji3][emoji3]Marine One sio?
angalia mtambo wa gongo wa jirani!
halafu angalia kitu hiki
[emoji3][emoji3][emoji3]We angalia tu hivyo video dakika ya 2:30 hata huyo mtangazaji anaonyesha kukata tamaa na hicho kichwa cha mbogo! 😀 😀
Wanatumiwa na mabwana zao ili tukubali majaribio ya chanjoHapo mambo ni mawili
1. Vipimo vyao ni feki
2. Wana ajenda ya siri dhidi ya Tz
Hilo la kwanza siamini cz km ni feki kwnn vitoe majibu ya positive kwa madereva wa Tz tu, yn wakipima madereva 27 basi hapo vipimo vitasema 24 ni WaTz, 1 Uganda, 1 Kenya, 1 Rwanda.
Hilo la pili ndvyo nnavyodhani mm, kwmb Wakenya wanafanya hila dhidi ya Tz cz wanaumia kuona cc uchumi unaenda tu japo kipindi hiki cha Corona na ilihali hatufanyi km wao walivyoamua kuwaiga mabeberu, so ni wivu, chuki na fitina tu ndo zinawasumbua.
Umeumia[emoji3][emoji3]Cant waste my data watching nonsence
Heheheheheeee huu mwaka lazima mtoke Jf au mbaki lkn kwa majukwaa mengine, c unaona wenzio wengi washapoteza ladha na huu uzi ss bado ww, mpk tukifika Dec utakuwa ushaaga [emoji3][emoji3]
Jana niliwasikiliza mawaziri wa Zambia, wanasema pia wanatumia muda huo kuwafanyia training watu wao.Vyombo vya habari vya Kenya ndo vinasambaza hila hizo, hata kuhusu habari ya kufungwa kwa mpk wa Tz na Zambia Wakenya wameshadadia kwa herufi kubwa kabisa ili ionekane ni kweli Tz inasambaza corona, lkn Kabudi ametolea ufafanuzi kuhusu hilo la Zambia anasema mpk umefungwa kwa siku 5 ili maafisa wa Zambia wachukue takwimu zao pale mpakani na baada ya hapo kila kitu kitakuwa sawa, ss hawa wapuuzi wanaleta siasa ktk kila jambo, unajua wakenya tangu waone tunaanza kurudisha nafasi yetu hapa EA inawauma sn[emoji3][emoji3]
Nazo zitakua bullet train za kijiwe jiwe[emoji23][emoji23]hutaki tuwe wakwanza kumiliki[emoji23][emoji23][emoji23]
Talent 3 Vs Chinese class 1![]()
VS
![]()
unapaswa unyamaze mzee!
Ss hayo matobo matobo ubavuni mwa Chinese first class ya nn mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Talent 3 Vs Chinese class 1
Uliona wapi iliandikwa tukielectrify tutanunua vichwa vinginehv mkielectrify reli yenu, hizo trains zenu mnazipeleka wap?
Yani kw chopper we kaa kimya tu, wala usijichanganye..unaleta video ya 2017 ndio ujifurahishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marine One sio?
angalia mtambo wa gongo wa jirani!
halafu angalia kitu hiki
Hata mimi nimekua nikitathmini sana, na bado wanaendelea kununua. Kuja kununua treni mpya za umeme ni matumizi mabaya ya hela. Mchina ana roho mbaya sanahv mkielectrify reli yenu, hizo trains zenu mnazipeleka wap?
Kw chopper za kikeshi heri mkakaa kimya tuWacha kabisa Mkuu dude hilo km US, yn huu uzi umewasaidia sn wakenya wameona tofauti iliyopo kati yetu na wao, tuko mbele yao kwny mambo mengi [emoji3][emoji3][emoji3]
We angalia tu hizo zake honi utadhani baragumu! 😀 😀 😀Treni ina sura ka barakoa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1450308