Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Difference ya speed between izo vichwa viwili haijapita 20km/h (note ya kenya inaeza kua upgraded na speed kuongezeka)
As i have said mkaacha mihemko na mkaanza kujadili kitaalamu mtaona the difference is not that much..alafu hiyo reli yenu ni far from a bullet train

Sent using Jamii Forums mobile app
80km/hr vs 160km/hr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alot man, infact most farmers wanapenda kuuza kenya because of the prices are abit higher for the same products when you sell within tanzania, kenya is like an economic room for most east africa countries, hata uganda nao wanauza kenya, nmetolea mfano tu wa mazao but the exchange contains much more than we can think hata precision air is largely owned by kenyans! i understand the amount of hate but reality is reeality why would we hate them
We kweli mpuuzi, ss precision air imefata nn kwny hayo maelezo
 
Ispokua ushabiki wa kitoto treni hizo mbili hazina tofauti kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti kubwa ipo kwenye engine, hyo ya chini ni ya dizeli ya juu ni ya stima pia inatumia betri, lkn pia hili la chini ni model ya 1920 hyo ya juu ni latest dizain, duu huoni tofauti mzee? Ya juu kadogo dogo, portable na kana efficiency kubwa la chini ni kubwa zito and dumb, huoni tofauti
 
Northland City under construction
IMG_20200513_141652.jpg
 
Difference ya speed between izo vichwa viwili haijapita 20km/h (note ya kenya inaeza kua upgraded na speed kuongezeka)
As i have said mkaacha mihemko na mkaanza kujadili kitaalamu mtaona the difference is not that much..alafu hiyo reli yenu ni far from a bullet train

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa locusts train 😂 😂
 
Back
Top Bottom