Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,473
- 4,253
Atakua amepiga picha kwenye nymba ya mwalimu mkuu wa kijijini kwao🙂
Nixcie ni fukara mno. Kwanza proof nyingine kuwa hiyo nyumba sio yake Ni kuwa picha za nyumba alizoleta hazifanani quality. Hiyo nyingine sijui kapiga picha kwa camera ya blackberry??? 🤔 Kama ingekuwa nyumba yake, angepiga picha zenye quality moja. Usikute kaokota kwenye internet 😂😂🙆🏾♂️



