Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba huu ni mjengo wako na huyu ni ww [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una vituko sn wwView attachment 1449217View attachment 1449218View attachment 1449219View attachment 1449221
Nixcie ni fukara mno. Kwanza proof nyingine kuwa hiyo nyumba sio yake Ni kuwa picha za nyumba alizoleta hazifanani quality. Hiyo nyingine sijui kapiga picha kwa camera ya blackberry??? 🤔 Kama ingekuwa nyumba yake, angepiga picha zenye quality moja. Usikute kaokota kwenye internet 😂😂🙆🏾‍♂️
 
Nixcie ni fukara mno. Kwanza proof nyingine kuwa hiyo nyumba sio yake Ni kuwa picha za nyumba alizoleta hazifanani quality. Hiyo nyingine sijui kapiga picha kwa camera ya blackberry??? [emoji848] Kama ingekuwa nyumba yake, angepiga picha zenye quality moja. Usikute kaokota kwenye internet [emoji23][emoji23][emoji2305]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] picha zake huwa znaonekana kabisa kwmb anatumia tecno ya bei cheaper, huwa tunaona screenshot zake, hakuna hata cku moja cm yke ikawa full charge af anataka kushindana na wenye nacho, km huna wacha wenge we tulia ule cndano maisha yanaenda ipo siku na ww Mungu atakujalia tu mbn ndo maisha yetu hayo, lkn co unataka kutunishiana misuli na waliokutangulia lazima uumbuke mzee baba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
do you smell something here?


hiv Tanzania kuna vitu gan tunavitegemea kutoka kenya? (just a simple qn, no need to argue)

Hawamjui MAGUFULI, wakiendelea hivi huu mpaka utafungwa halitavuka wala kuingia truck lolote, Juzi nimeona dreva mmoja anaonyesha video yaani wako wengi wamewaruhusu kuingia Kenya kisha ndio wakawashikilia hawawezi kurudi tz wamewekwa Kama mafungu, wengine wana nyanya serikali ya Kenya imesema wacha ziharibike.
 
Af nicxie juu ya hii nyumba yako umeweka nn[emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1589390498439.jpeg
 
Nixcie ni fukara mno. Kwanza proof nyingine kuwa hiyo nyumba sio yake Ni kuwa picha za nyumba alizoleta hazifanani quality. Hiyo nyingine sijui kapiga picha kwa camera ya blackberry??? 🤔 Kama ingekuwa nyumba yake, angepiga picha zenye quality moja. Usikute kaokota kwenye internet 😂😂🙆🏾‍♂️
niliwaambia jana kaziokota 😂😂😂
 
Back
Top Bottom