Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

E980FE23-35B7-42DC-A9B9-529B13DF9ED9.jpeg
691410CE-349C-40EA-94DF-014146228729.jpeg
71E9A94B-130A-4273-A939-B66D4EB27C0B.jpeg
 
Hii corona ipo lakini naona wazungu target ilikua kuuza chanjo haswa afrika ndio maana nchi zinazofanya resistance kidogo wanazizungua . Hapa dawa na kufunga mpaka haswa kenya wanatumika vibaya . Jana nimewaonea huruma sana wafanyabiashara perishable goods zinaoza mipakani. Ni hasara kubwa . Hawa dawa yao kuwafungia vioo hili wajue mzungu hana urafiki wa kudumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya co ndugu zetu tufunge mkataba nao km vp cz hawana impact yyte kwetu
 
Resource zipi ambazo tunasafirisha nje kwa ndege?, kumbuka hao Samaki na Nyama havitoshi kujaza ndege kila siku, pia kumbuka ni wafanyabiashara ndio wanaosafirisha sio Serikali, kwahiyo wanaamua kutumia ndege wanazotaka, watachagua ndege yenye unafuu wa bei.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa kutumia Rwanda air hapa tunamuua jirani mkongwe 😁😁
 
Back
Top Bottom