Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only in tanzania, mashine za kupimia ni mbovu lkn bado spika anaogopa hadi kuwakataza baadhi ya wabunge bungeni kisa hawaja pima na wala hawathibitisha km wamepima..

Kweli hamjielewi km mnataka nn..
Heri Mungu akalitokomeza hili manake kw hali hii vilaza wataumia sana
FB_IMG_1589391139076.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nasema mmejaa ujinga hadi sasa ni kushabikia vifo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mazee..eti jamaa na midevu yake ywadaisha eti "yalete yaliouwa watu ndani ya miezi mitatu iliyopita"

Watu wengine wanatia huruma, tena utakuta naye ywajiona kidume kweli kweli akifika kw mkewe kumbe akili za watu wa mirembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaivo tuwaache waingie na corona ndo Tanzania isichafuliwe jina?? Ujinga uliopo tz ni level nyingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona madereva kutoka Kenya wanalia lia na kuandamana kwamba hawaamini vipimo vya covid kutoka kwa maafisa wa Uganda. Karma is a *bichi*...

Mnayowatendea wenzenu na nyie mtatendewa tuu, kwa kipimo kile kile au zaidi.

Uhuni mnao fanya pale Namanga boda ni wa kipuuzi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janga la taifa ni nini? na kwan mafuriko yakiua kuna mkono wa mtu, au ndio unafurahia...

Ujue haya hayana mipaka, leo huku kesho kule..

Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi mchukue loan nyingine kusaidia over 150,000 displaced at least $500 mln will do! Nakumbuka mlikuwa mnachekelea kukatika daraja Tanzania!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Janga la taifa ni nini? na kwan mafuriko yakiua kuna mkono wa mtu, au ndio unafurahia...

Ujue haya hayana mipaka, leo huku kesho kule..

Sent using Jamii Forums mobile app
hujaelewa janga la taifa maana yake pale maradhi au njaa ya any natural disaster inapozidi kiwango huitwa janga la taifa kama vile floods kuua wakenya zaidi ya 270 + displacement ya watu 160,000 na mali kuharibiwa kwa wingi,

sasa umesahau kitu kwamba munahangaika kushuglika na tanzania mukisahau kwenu moto unaunguza makalio yenu
 
Only in tanzania, mashine za kupimia ni mbovu lkn bado spika anaogopa hadi kuwakataza baadhi ya wabunge bungeni kisa hawaja pima na wala hawathibitisha km wamepima..

Kweli hamjielewi km mnataka nn..
Heri Mungu akalitokomeza hili manake kw hali hii vilaza wataumia sanaView attachment 1449498

Sent using Jamii Forums mobile app
hii mada hujaielewa bro uliza upewe majibu 😂😂😂😂 umedakia habari kwa juu sana
 
Naona madereva kutoka Kenya wanalia lia na kuandamana kwamba hawaamini vipimo vya covid kutoka kwa maafisa wa Uganda. Karma is a *bichi*...

Mnayowatendea wenzenu na nyie mtatendewa tuu, kwa kipimo kile kile au zaidi.

Uhuni mnao fanya pale Namanga boda ni wa kipuuzi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
yani yote wanafanya hvi kwasababu kwann tanzania haijaenda curfew au lockdown na kwann tuko bzy kujenga nchi hichi kitendo kinawauma sana ndio wako bzy hapa kuichafulia jina tanzania
 
Back
Top Bottom