wanahangaika na tanzania yani wakenya munasafari ndefu sana
huku sisi maji ya kumwaga, hadi mifugo inanufaika
wanahangaika na tanzania yani wakenya munasafari ndefu sana
Alaaaa kumbeee, basi watasubiri sana maana wao wanalazimisha kuuaminisha umma kwamba Tz watu wanakufa kwa covid-19 kumbe huku tunapiga kazi tuuyani yote wanafanya hvi kwasababu kwann tanzania haijaenda curfew au lockdown na kwann tuko bzy kujenga nchi hichi kitendo kinawauma sana ndio wako bzy hapa kuichafulia jina tanzania


Wana matatizo mengi sana kwa sasa hawa watu, wakati cc tunapambana na corona wao wanapambana na corona, nzige, njaa, ukosefu wa maji safi na salama, ufisadi na dudu lingine linaitwa floodsTangu walivyo vote Tanzania wasiuze pemba za ndovu zilizokamatwa kwa majangili niliwaona wakenya wanaroho ya ajabu kweli. Hawa dawa mpaka ufungwe hata mwezi wakaombe chakula kwa wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app




Mnaimport kutoka tanzaniaa sahivi ymtunauza wenyew na nyiee mpambane na hali zenuuJust want you to know that Kenya leads Africa in avocado production,and is 3rd in the world
Kufikiaa mwaka 2023 tunaweza shika namba moja coz watu wamelima parachichi ad sio pwSi mmezoea products zitoke Tz zije kwenu zen nyie mbandike lebo mpeleke abroad, ss tunauza wenyewe af subiri 2yrs tusikie hzo habari kwamba mnaongoza Afrika![]()
Ukitaka kujua kwmb hawa wasenge walikuwa wanatoa wapi parachichi hebu angalia miaka 5 nyuma tulikuwa zero kabisa kwny exportation ya hilo zao, lkn ss tupo namba 2 ghafla, ss subirini muone mchezo, now tunauza wenyewe hutasikia tena ushuzi wa kenya kuwa wakwanza cjui wa ngp, wajinga hawa ardhi ya kuongoza kwenye hilo zao hawana amini nakwambiaKufikiaa mwaka 2023 tunaweza shika namba moja coz watu wamelima parachichi ad sio pw


Pamoja kakaWajinga sana, yn wao wana nyumba ya vioo af wanatutupia mawe cc wenye nyumba ya block ss we subiri show kamili, tunaona maneno yao ya kutuchafua ila cc tutajibu kwa vitendo, wao wanadhani huyu ni yule yule mtanzania wa Nyerere hehehehee wazee mtanzania wa ss ni bepari mwaga mboga anamwaga ugali![]()
Nina video ya madereva wa zambia waliofungiwa mpakani kwa siku 20 alaf wanaambiwa wana coronaa wakati ni uzushii hii ishu na wakenya nadhani iko hivyoo. Wanacho tafuta watakipataa mda utaongeaaa
Nielewe km mlisema vifaa na vibovu, au wabunge wakapimwe tena na hvyo hvyo vifaa ambavyo jiwe haviamini..hii mada hujaielewa bro uliza upewe majibuumedakia habari kwa juu sana
Hahaaa!!hapo ndipo elimu imekufikisha, hata maana ya janga la taifa kumbe hujuihujaelewa janga la taifa maana yake pale maradhi au njaa ya any natural disaster inapozidi kiwango huitwa janga la taifa kama vile floods kuua wakenya zaidi ya 270 + displacement ya watu 160,000 na mali kuharibiwa kwa wingi,
sasa umesahau kitu kwamba munahangaika kushuglika na tanzania mukisahau kwenu moto unaunguza makalio yenu
Tunatangaza kote kote, media zetu hazijawekwa kibindoni..alaf wako bzy na tanzania


Vyombo vya habari vya Kenya ndo vinasambaza hila hizo, hata kuhusu habari ya kufungwa kwa mpk wa Tz na Zambia Wakenya wameshadadia kwa herufi kubwa kabisa ili ionekane ni kweli Tz inasambaza corona, lkn Kabudi ametolea ufafanuzi kuhusu hilo la Zambia anasema mpk umefungwa kwa siku 5 ili maafisa wa Zambia wachukue takwimu zao pale mpakani na baada ya hapo kila kitu kitakuwa sawa, ss hawa wapuuzi wanaleta siasa ktk kila jambo, unajua wakenya tangu waone tunaanza kurudisha nafasi yetu hapa EA inawauma snNina video ya madereva wa zambia waliofungiwa mpakani kwa siku 20 alaf wanaambiwa wana coronaa wakati ni uzushii hii ishu na wakenya nadhani iko hivyoo. Wanacho tafuta watakipataa mda utaongeaaa


Kumbe waumwa wewe kenya inapochukua deniItabidi mchukue loan nyingine kusaidia over 150,000 displaced at least $500 mln will do! Nakumbuka mlikuwa mnachekelea kukatika daraja Tanzania!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Nop u r 61% now as far as debt to GDP ratio n ur former finance CS Rotich n ur governor Njoroge said u can still push it to 79% so u have 18% space still!