komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Punguza ma feelings, sio kila kitu ni ligiuhehehehe umekasirika tayar![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ma feelings, sio kila kitu ni ligiuhehehehe umekasirika tayar![]()
Na tutaendelea kutangaza kote kote, hapa kutangaza tu..mpende msipende tutangazaahahaha munahangaika na tanzania wakat uharo unawatoka kwenu![]()
Ni noma yaani kuna watu watapotea humuHzi trains ni customizable according to customer requirements hadi hiyo sehemu ya mbele pia wanaweza ku-customize iwe na muonekano ambao mteja anataka.
Tutachukua hata km itafikia 150%, unafikiria hilo litakua deni la east africaNop u r 61% now as far as debt to GDP ratio n ur former finance CS Rotich n ur governor Njoroge said u can still push it to 79% so u have 18% space still!
Now this is what happened to Rotich
I am now waiting to find out Njoroge's destiny
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11



Hko kwenu walimu mnawaona wana hela sana, ndio manake idadi kubwa ya wanawake wenu mikoani wanawashobokea walimu sana..Atakua amepiga picha kwenye nymba ya mwalimu mkuu wa kijijini kwao🙂
Halafu kiaina Treni zitakapokuwa stations zikipakia zitakuwa detached from catenaryHapa km naliona chata letu pendwa TRC afu chini lazima iwe na jina mfano utakuta moja imeandikwa OLDUVAI GORGE - HAPA KAZI TUthe first electric train in the regionView attachment 1450004
Vipimo ni fekiHapo mambo ni mawili
1. Vipimo vyao ni feki
2. Wana ajenda ya siri dhidi ya Tz
Hilo la kwanza siamini cz km ni feki kwnn vitoe majibu ya positive kwa madereva wa Tz tu, yn wakipima madereva 27 basi hapo vipimo vitasema 24 ni WaTz, 1 Uganda, 1 Kenya, 1 Rwanda.
Hilo la pili ndvyo nnavyodhani mm, kwmb Wakenya wanafanya hila dhidi ya Tz cz wanaumia kuona cc uchumi unaenda tu japo kipindi hiki cha Corona na ilihali hatufanyi km wao walivyoamua kuwaiga mabeberu, so ni wivu, chuki na fitina tu ndo zinawasumbua.



Zinajali au zimetiwa kibindoni na jiweWw unaeza ukatoa maneno ya kishujaa km hayo ili kujifariji tu, ila serikali yako inakosa ucngz juu ya Tz, yn hamuezi kaa siku moja bila kuzungumzia Tz lkn media za Tz zinajali mambo yao wala huwezi ckia wakiongelea kenya cz haitishi![]()



Ndo hzo hzo zinazo operate hii hapa train ya umeme




Bado hamjielewi km mnataka nnUpo right
![]()
![]()
High capacity, high acceleration
The TALENT 3 train is a state-of-the-art, modular solution that can easily adapt to the needs of customers. The train’s spacious interior provides a comfortable journey for passengers due to efficient positioning of traction equipment, allowing maximum use of interior space. The TALENT 3 commuter train also offers:
Commuter
- Speeds of up to 160 km/h
- High capacity
- High acceleration
- Up to 10 per cent energy reduction due to regenerative breaking and the use of MITRAC Energy Saver solution
- FLEXX Compact bogie for high mileage and low maintenance costs
- One to two doors per car side
- Up to six cars per train
- Different entrance heights for safe and easy boarding from all platform levels
Tunakukaribisha siku hiyo ili uone reli ya kwanza ya kisasa na inayotumia umeme afrika mashariki na kati
Endeleeni kuisubiria hyo reli tu, november mlirukisha na june hii hapa bado mnataka kuzindua 200kmTunakukaribisha siku hiyo ili uone reli ya kwanza ya kisasa na inayotumia umeme afrika mashariki na katiView attachment 1450013
Sent using Jamii Forums mobile app
Umebeba sauti ya Wakenya, najua ulivyoumia, poleni sana but this is Tanzania mpya ya viwanda


Endeleeni kuisubiria hyo reli tu, november mlirukisha na june hii hapa bado mnataka kuzindua 200km
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hii kitu lazima Wakenya mpigane tena, nyie subirini muone, cku tunalizindua haitapita miezi sita bila ya Wakenya kuchinjanaEndeleeni kuisubiria hyo reli tu, november mlirukisha na june hii hapa bado mnataka kuzindua 200km
Sent using Jamii Forums mobile app


Usijipe matumaini ya kipuuzi. Hiyo ni treni ya mkandarasi. Huu ushuzi Ndio mnao halafu unakuja hapa kufuata mambo yasiyokuhusu
Mbona unawashwa sana? Sio kwamba hata utafaifika na reli yetu utaishia tu kuiona kwa machoEndeleeni kuisubiria hyo reli tu, november mlirukisha na june hii hapa bado mnataka kuzindua 200km
Sent using Jamii Forums mobile app