Akili za mbayuwayu hizi.A form 4 Kenyan student who loved chemistry practicals should know this. Hii PHD ya bongo inashtua.
sasa hii ni mall unaeza post hapa bro unaijua mwanza vzr wewe au???
hvi ni vitu viko moshi
View attachment 1438796View attachment 1438797
Dr. wa nini?., kama unajua maana ya Doctor., ama wewe ni wale wakiona yeyote ni Dr. munafikiria ni wakutibu ama ana majibu kwa kila jambo., wacha ufala. Tanzania's ignorance is on steroids
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe kampuni za chadema zikipewa miradi ya maana..Uhuru Kenyatta ni jambazi aliyepo madarakani, inasemekana tenda ya kuprint t-shirts za Jubilee Party (chama tawala anachoongoza) aliipa kampuni inayodaiwa kumilikiwa na familia yao Kenyatta
Tatizo lao huona kenya kila mahali hapalimwi, medias zetu wakitoa idadi ya njaa na ukame huaga zile ni estimations tu..
Mtu km ni mjanja si ajichanganye kwanza na taarifa halafu..eti unaambiwa watu million mbili au tatu halafu unakuta bado picha na kw habari bado wanaonyesha turkana tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huo ni uongo? Mbona kila kitu kiko wazi kwamba hivyo vichwa vyenu vya mbogo/Nyati vinatesa sana uchumi wa nchi yenu kwa miaka 10. Inauma enheee!Hayo yote yameletwa na hyo sindano niliyoitoa
Ungelipita kimya kimya tu kuliko ya kujiabisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kuendelea kujiabisha..Kwani huo ni uongo? Mbona kila kitu kiko wazi kwamba hivyo vichwa vyenu vya mbogo/Nyati vinatesa sana uchumi wa nchi yenu kwa miaka 10. Inauma enheee!
Yupo gizani huyo, kwanza jiwe keshajitengezea mazingira ya kutotoa taarifa tenaDo you have any idea of how many have tested positive for the last five days in your country?
Mibongolala katikati ubora wao 😂 😂Yupo gizani huyo, kwanza jiwe keshajitengezea mazingira ya kutotoa taarifa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimama unaendesha baiskeli na huo umri na kujiona upo comfortable kabisaWacha kupiga picha bro, ile pita pita tu mitaa ile ni noma..
Nilishawai chukua baiskeli yangu na kuamua kuzunguka hzo area, sasa nikawa nakatiza hyo barabara ya statehouse hadi florida na kurudi mpka uhuru na kazi..
Ndugu yangu trip ya nne wale ndume walinisimamisha halafu wakanitia mikwara sana..km sio id ya kazi mimi sai kwishnehi..nashuku walikua recce wale jamaa manake sio kw zile mbwembwe na roho mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheheeee hizi bakora tunazocharaza ukanda huu watasimulia kwa kweli, yajayo yanafurahisha2 more dreamliners 787-8 plus a cargo aircraft 767-300 for Air Tanzania on the way!
![]()
Aircraft plan
![]()
![]()
![]()

