Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
inakaa mpango wa JPM ni kuwa na ndege kama 20 hivi!Heheheheheeee hizi bakora tunazocharaza ukanda huu watasimulia kwa kweli, yajayo yanafurahisha![]()
inakaa mpango wa JPM ni kuwa na ndege kama 20 hivi!Heheheheheeee hizi bakora tunazocharaza ukanda huu watasimulia kwa kweli, yajayo yanafurahisha![]()
Acha mihemko wa anti utashughulikiwa!
Yn pale kwenye cargo air tutapiga bao sn mkuu, 767inakaa mpango wa JPM ni kuwa na ndege kama 20 hivi!


kwanza tunamsako wa kujua vile test kit ni vya kweli au magumashiDo you have any idea of how many have tested positive for the last five days in your country?
umeona alivokua na akili na mkuu wa maabara tanzania kashapigwa chini tayar😂😂😂Yupo gizani huyo, kwanza jiwe keshajitengezea mazingira ya kutotoa taarifa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
magufuli anawatesa sana vichwa vyenu 😂😂 yani hamuna raha wala amaniMibongolala katikati ubora wao 😂 😂
wakat majirani wana miaka 50 wanamiliki ndege 3 chakavu 😂😂😂😂😂 alaf wako hapa ohh sisi nye nye nyeinakaa mpango wa JPM ni kuwa na ndege kama 20 hivi!
so jumla ndege tano zinakujainakaa mpango wa JPM ni kuwa na ndege kama 20 hivi!
wakichelewesha chinese sgr yao, mzigo tunaubeba
so jumla ndege tano zinakuja
Airbus 2
bombadier 1
dreamliner 1
b767 freight 1
Dreamliner 2! Soma maelezo vizuri!so jumla ndege tano zinakuja
Airbus 2
bombadier 1
dreamliner 1
b767 freight 1
wakichelewesha chinese sgr yao, mzigo tunaubeba
Akili ya kutoelewa mambo sioumeona alivokua na akili na mkuu wa maabara tanzania kashapigwa chini tayar


