Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf wako hapo ohh nye nye nye ohh magufuli kwann akae chato😂😂👇👇👇👇

hii ishu ya corona nadhan ni mpango mzima wa china kuivuruga dunia nzima, ili waweze kufaidika na mauzo ya vifaa vyao kipindi hiki cha corona, ile mizigo ya Jack Ma ni kama tangazo tu kuonyesha vifaa vipo china.. haiwezekani Jack Ma asaidie mzigo wote ule bila wao kunufaika in conspiracy-world eye
Tatizo lipo pale pa kifo, mbna watu wankufa kote kote...manake huwezi nambia jiwe anaweza kubali eti kuwe na mpango wa kuwaua watu kw sumu wanapokua katika isolation centers ili ionekane ugonjwa upo kweli na unaua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbale ni bara na hakuna lockdown, western hakuna hunger, hio ni maoni ama mtaka likes., nothing like that in western., fuatilia mwenyewe., wacha kujiliwaza, nchi mko na kasoro kama sio neema ya mwenyezi Mungu Tz haingekua mahali ipo kwa sasa, upumbavu na uzembe mlio nayo ni ya ajabu. Shukuruni Mungu na suo Maguu., kila uchao anachemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lao huona kenya kila mahali hapalimwi, medias zetu wakitoa idadi ya njaa na ukame huaga zile ni estimations tu..
Mtu km ni mjanja si ajichanganye kwanza na taarifa halafu..eti unaambiwa watu million mbili au tatu halafu unakuta bado picha na kw habari bado wanaonyesha turkana tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lipo pale pa kifo, mbna watu wankufa kote kote...manake huwezi nambia jiwe anaweza kubali eti kuwe na mpango wa kuwaua watu kw sumu wanapokua katika isolation centers ili ionekane ugonjwa upo kweli na unaua

Sent using Jamii Forums mobile app

you don’t get the point.. he himself admits ugonjwa upo, na anajua watu wanakufa,, anasema pia ‘tusitishane’
 
you don’t get the point.. he himself admits ugonjwa upo, na anajua watu wanakufa,, anasema pia ‘tusitishane’
Na hapa ndipo anapowajibu watoa data za uongo kwamba hali c nzr lkn cvyo km wao wanavyosema, mana yeye ndio yupo jikoni kila kitu anakijua na km ingelikuwa ni kweli watu wanakufa kwa idadi hiyo tungelimuona tu uso wake hata kama angejificha vp.
 
Hivi juzi si vyombo vyao vya habari viriripoti wamekufa 50 dar pekee. Ina maana vifo vilikomea siku moja haviendelei?
 
Hivi juzi si vyombo vyao vya habari viriripoti wamekufa 50 dar pekee. Ina maana vifo vilikomea siku moja haviendelei?
Eti vifo 50 per day zen cc tulio Dar tusihisi chochote!! Hivi vifo 50 kwa mkupuo wanavichukuluaje kwnz? Ukizingatia nchi hii haina vita wala disaster za mara kwa mara ambapo useme labda tutakuwa tumezoea (Mungu na azidi kutujalia) yn hawa jamaa ni wajinga sana, wanataka tufanane
 
heshima gani wakat unaniambia mm huwez ishi kwnye banda langu hvi ww unachukulia kila mtu simple humu ndani😂😂😂😂
Na wenye unawaambia hawawezi miliki training GPS watch unawachukulia aje humu ndani? Some of us are just too mature to start posting our stuff in here
 
Na wenye unawaambia hawawezi miliki training GPS watch unawachukulia aje humu ndani? Some of us are just too mature to start posting our stuff in here
miliki kwanza saa kama hio ukiweza sasa niulize habari ya nyumba yangu kama😂😂 ahahaha ww sema tu sina uwezo wakumiliki saa kama hio usilete habari ya matured hapa
 
you don’t get the point.. he himself admits ugonjwa upo, na anajua watu wanakufa,, anasema pia ‘tusitishane’
Tusitishane ki vipi na wakati ugonjwa upo na unauwa, magufuli mbna anajichanganya kiasi hicho..
Mbna yeye basi hatoki chato kurudi hku bado akiwaambia mpige kazi...
Think tiwe bro, hta yeye huo ugonjwa anauogooa tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapa ndipo anapowajibu watoa data za uongo kwamba hali c nzr lkn cvyo km wao wanavyosema, mana yeye ndio yupo jikoni kila kitu anakijua na km ingelikuwa ni kweli watu wanakufa kwa idadi hiyo tungelimuona tu uso wake hata kama angejificha vp.
Walitekwa wangapi na bado hakukunja uso na kukemea, mwisho alisema eti watu wanajiteka ili kuichafua serekali..

Yani mtu kweli ajifanyie unyama..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusitishane ki vipi na wakati ugonjwa upo na unauwa, magufuli mbna anajichanganya kiasi hicho..
Mbna yeye basi hatoki chato kurudi hku bado akiwaambia mpige kazi...
Think tiwe bro, hta yeye huo ugonjwa anauogooa tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuelewa comment yake kisha urudie kucomment tena,
Usipende kuweka ubishi kwenye kila kitu.
 
Hivi juzi si vyombo vyao vya habari viriripoti wamekufa 50 dar pekee. Ina maana vifo vilikomea siku moja haviendelei?
Kwn data mnatoa kila siku, km watu wanakufa kawaida mbna mzike usike na serikali isitoe taarifa yyte ya kwamba mtu atakayekufa kw maradhi yyte atazikwa usiku..bali iliagizwa juu kwa juu na kufanyika kinyemela..

Na km si ntv nadhani hata wizara yenu ya afya haingelitoa tamko lolote, watu wangeliendelea kuzikwa kichawi na kuleta taharuki nyingi...
Haya mtu kafa kazikwa, mkiulizwa sababu eti kashindwa kupumu, hayo maradhi kwn yalianza hivi majuzi..hebu wacheni kuzingua nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuelewa comment yake kisha urudie kucomment tena,
Usipende kuweka ubishi kwenye kila kitu.
Yani kitaa kimevamiwa na simba wanafanya yao halafu mwenye kiti anasema "msitishwe bana, eti tulimjaribu yule simba tukamuekea mapapai, oil na mbuzi akala lkn kondoo hakumlaa..

Itabidi tumchunguze huenda ikawa katumwa au ni wabandia anaendeshwa na rimoti baada ya vitu 30 anakula kimoja..
Kwhyo jamaa zangu chapeni kazi" hku yeye akitulia kw nyumba ya mjumbe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom