siumeona nchi zingine zimeanza kumuelewa 😂😂😂👏👏👏👏Akili ya kutoelewa mambo sio
Doctor mzima imunatoa kauli za vijiweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleeni kuficha takwimu tusiumeona nchi zingine zimeanza kumuelewa
wenye akili zao
Hivi umepata mgao wako wa noahWale wa tablet per child promise wapo wapi?


hapa naona kuna makosa jirani haonekani 😁
I think Tanganyika was the one left alone for long...Nyasa has 3 vessles already ni wao tu kuanza kutumiaNew ferries Lake Victoria, Lake Tanganyika and Lake Nyasa
![]()
Unayo soft copy ya Budget ya Wizara ya Afya na UjenziWale wa tablet per child promise wapo wapi?
mukipewa ukweli hamutaki munanuna why??
Ingia Bunge website utapata kila kitu!Unayo soft copy ya Budget ya Wizara ya Afya na Ujenzi
.kama unazo nitumie humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi linganisha Mombasa na Dar es Salaam kwa lolote. Mombasa imepita Dar tena kwa mbali. Hili tulishaajadili.haya niambieni ni lini mombasa itafkia hatua yakupata kingo za bahari za kisasa kama hzi duhh yani wana miaka 300 mark my words😂
Nyumba za baba yako hizo? Wacha ufala wewe! Angalia watu wanaokotwa barabarani na Corona amtaki kuwahudumia.Vipya vipi!? Tumemuelimisha hapa kuwa hayo si mapya wala mageni hata humu. Yeye basi awe mgeni.
Vijumba anavyo post vidogo si vya kutosha kujazia uzi.
Ona majumba kama haya Kenya, sasa tukianza kupost moja moja!!!?
View attachment 1435707View attachment 1435708View attachment 1435709![]()