Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,
Wacha kupiga picha bro, ile pita pita tu mitaa ile ni noma..
Nilishawai chukua baiskeli yangu na kuamua kuzunguka hzo area, sasa nikawa nakatiza hyo barabara ya statehouse hadi florida na kurudi mpka uhuru na kazi..

Ndugu yangu trip ya nne wale ndume walinisimamisha halafu wakanitia mikwara sana..km sio id ya kazi mimi sai kwishnehi..nashuku walikua recce wale jamaa manake sio kw zile mbwembwe na roho mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ndio mwaka wa mwisho mm nimeskia cholera tanzania 2016👇👇👇👇

Unataka Ilala ipi 💉😂😂
Hii hapa 😂 😂
PhotoGrid_1578252819562.jpg
PhotoGrid_1578252714257.jpg
PhotoGrid_1578252743249.jpg
PhotoGrid_1579606757759.jpg
PhotoGrid_1579606702485.jpg
 
Fact remains, ata uandike nini; upinge, usipinge ukweli ni hivyo; Dar=Mombasa na Mombasa=Dar., haitobadilika. Wewe rusha vipicha vya Dar hapa niburudike, Kajitonyama, Ilala, Oyster Bay n.k., kwingine makao ya watu zaidi ya asilimia sabini na paelewa.,
Heheheheheeee ss c bora uku, naipori ukitoka mita chache tu unakutana na maeneo ambayo hata zombie hawezi ishi
 
Aerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,
Kuhusu mijengo ya kupaa sai usiulize pale junction ya kukupeleka statehouse kurudi nyuma hivi mpka mwanzo wa florida..
Ni vile tu kupiga picha ki senge senge panaogopesha...

Manake hata wale wauza kachiri si ajabu wanasoma upepo tu na kutuzengua sisi raia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hutapata hio link mark my words 😂😂😂
tanzania inakunyima usingizi wewe
huyu ni mzungu sio mm bro👇👇👇 kwa lugha nyingine inaitwa google earth live bila chenga😆😆😆
View attachment 1438031
Sioni kikubwa hapo, few pockets of slums in comparison na other areas., nyie slums mixed na unplanned settlements na mashambani(nyumba na boma za kiswahili, style ya vijijini kule bara) ndani ya Dar ni almost 90%, aerial view ni aibu tupu. Google earth mwenyewe ujionee, mtanzania hawezi amini ukweli inayo mker
images-4.jpeg
download-1.jpeg
a.😂😂😂😂
 
Wacha kupiga picha bro, ile pita pita tu mitaa ile ni noma..
Nilishawai chukua baiskeli yangu na kuamua kuzunguka hzo area, sasa nikawa nakatiza hyo barabara ya statehouse hadi florida na kurudi mpka uhuru na kazi..

Ndugu yangu trip ya nne wale ndume walinisimamisha halafu wakanitia mikwara sana..km sio id ya kazi mimi sai kwishehi..nashuku walikua recce wale jamaa manake sio kw zile mbwembwe na roho mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂
Pole kwa masaibu yako bro... Recce Squad ni hatari
 
fika kwanza hapo kwanza alaf uniulize nyumba yangu iko wapi 😂😂😂😂😂 huwez kumiliki mwezi trust me
Sawa umeshinda basi but just know that I don't live in a dream house like you do
 
Pole kwa masaibu yako bro... Recce Squad ni hatari
Aaaa!!we acha tu, yani siku hyo nilishukuru sana...
Mwngine alikua akiwambia mwenzake km "tunasubiri nn huyu jamaa ni gaidi na hana niya nzuri, si tumzungushe kule nyuma tumlishe shaba"

Yani nilijiskia mishipa yote imesimama, vile tu sikuwa na camera..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wa tandale, sina utoto huo wako wa kupost vitu nizomiliki mitandaoni kwa watu wenye hata siwajui. Even if I owned the moon I wouldn't engage in such childish acts
Mbn ulipost picha yako humu wala hatujakusumbua sumbua
 
Heheheheheeee ss c bora uku, naipori ukitoka mita chache tu unakutana na maeneo ambayo hata zombie hawezi ishi
emoji3.png
emoji3.png
Kama umefika Nairobi, nielezee kutokea upande wa Mombasa road kule Athi River wapi utapatana na slum?., weka hapa., haya from western Kenya ukiingia Nai nihesabie slums unazokutana nazo, from Thika, along Thika road weka?., Dar is technicaly a village blended with modernity and slummish lifestyle, of which makao duni ni mingi mno! ZAIDI YA 70%., you cannot be ranked anywhere globaly! Shame! Afadhali proportion ya Arusha., iko somehow balanced. Bure kabisa😂😂😂😂
 
1 killed, 32 hospitalized in cholera outbreak in Tanzania's commercial capital
Source: Xinhua| 2019-05-30 00:42:37|

DAR ES SALAAM, May 29 (Xinhua) -- Cholera has killed one and left 32 others hospitalized in Tanzania's commercial capital, Dar es Salaam, Tanzanian health minister Ummy Mwalimu said on Wednesday.
"The outbreak of the disease has been caused by failure to abide by hygienic regulations," the minister said.
She directed all municipal councils in the commercial capital to enact by-laws that impose stern punishment to people who empty cesspool tanks in the open when it rains.
Instructions have been given to municipal council authorities to mete out stern punishment to anybody disposing sewage in their compounds, Mwalimu said.
Dar es Salaam chief medical officer Yudas Ndungile said most cholera patients came from Mchikichini, in Kariakoo, and places hardly reached by sewage vehicles, and that efforts should be put in place to reach those areas.

Copyright © 2000-2020 XINHUANET.com All rights reserved.
Kenya recorded 5,052 cases of cholera in 2019, the third highest outbreak in Africa

Data published by the World Health Organisation (WHO) this week shows efforts to control cholera in Kenya have largely failed, and cases have jumped from 3,967 in 2017 to over 5,000 last year.

Kenya is ranked third after DR Congo and Somalia. It is among seven countries in Africa which reported cases of cholera in 2019.
 
Kenya Aded 5,052 cases of cholera in 2019, the third highest outbreak in Africa

Data published by the World Health Organisation (WHO) this week shows efforts to control cholera in Kenya have largely failed, and cases have jumped from 3,967 in 2017 to over 5,000 last year.

Kenya is ranked third after DR Congo and Somalia. It is among seven countries in Africa which reported cases of cholera in 2019.
Tanzania haipo ju ya kificha majanga., North Kora/China ya Africa. Cholera ni cholera, mlikua mnadai eti ilimalizika duniani, Tanzania hakuna cholera, nyambaf!😂😉😂😂😂😂😂
 
Kama umefika Nairobi, nielezee kutokea upande wa Mombasa road kule Athi River wapi utapatana na slum?., weka hapa., haya from western Kenya ukiingia Nai nihesabie slums unazokutana nazo, from Thika, along Thika road weka?., Dar is technicaly a village blended with modernity and slummish lifestyle, of which makao duni ni mingi mno! ZAIDI YA 70%., you cannot be ranked anywhere globaly! Shame! Afadhali proportion ya Arusha., iko somehow balanced. Bure kabisa
Wakenya hii battle kwakweli imewalemea sn yn mpk mnatupangia maeneo ya kuwaonesha eti "nieleze kutokea upande wa Mombasa road kule...." We jiamini, niambie nkuoneshe slums za nairobi, mfano mtz anavyojiamini, km mm nakupa uhuru unioneshe slums za Dar, popote unapotaka ww nioneshe slum Dar
 
Kenya recorded 5,052 cases of cholera in 2019, the third highest outbreak in Africa

Data published by the World Health Organisation (WHO) this week shows efforts to control cholera in Kenya have largely failed, and cases have jumped from 3,967 in 2017 to over 5,000 last year.

Kenya is ranked third after DR Congo and Somalia. It is among seven countries in Africa which reported cases of cholera in 2019.
Kila kitu tunaweka wazi, expose a snake to kill it, ficha maradhi ufe. Tanzania ole wenyu! #corona #covid19
 
Back
Top Bottom