Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20200503-193523.png
 
usiniambie mumefkia hapa

Mbale ni bara na hakuna lockdown, western hakuna hunger, hio ni maoni ama mtaka likes., nothing like that in western., fuatilia mwenyewe., wacha kujiliwaza, nchi mko na kasoro kama sio neema ya mwenyezi Mungu Tz haingekua mahali ipo kwa sasa, upumbavu na uzembe mlio nayo ni ya ajabu. Shukuruni Mungu na suo Maguu., kila uchao anachemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaa!!we acha tu, yani siku hyo nilishukuru sana...
Mwngine alikua akiwambia mwenzake km "tunasubiri nn huyu jamaa ni gaidi na hana niya nzuri, si tumzungushe kule nyuma tumlishe shaba"

Yani nilijiskia mishipa yote imesimama, vile tu sikuwa na camera..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wah pole bro. Enyewe wangekupata na camera wangekumiminia risasi
 
hii ishu ya corona nadhan ni mpango mzima wa china kuivuruga dunia nzima, ili waweze kufaidika na mauzo ya vifaa vyao kipindi hiki cha corona, ile mizigo ya Jack Ma ni kama tangazo tu kuonyesha vifaa vipo china.. haiwezekani Jack Ma asaidie mzigo wote ule bila wao kunufaika in conspiracy-world eye
 
Mbale ni bara na hakuna lockdown, western hakuna hunger, hio ni maoni ama mtaka likes., nothing like that in western., fuatilia mwenyewe., wacha kujiliwaza, nchi mko na kasoro kama sio neema ya mwenyezi Mungu Tz haingekua mahali ipo kwa sasa, upumbavu na uzembe mlio nayo ni ya ajabu. Shukuruni Mungu na suo Maguu., kila uchao anachemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
yani mumefkia hatua ya kula panya kisa njaa subhanallah aisee hapo ndipo jubilee tano tena ilipowafkisha nawahurumia sana bro😂😂😂
 
Back
Top Bottom