Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Zunguka Afrika nzima uliza mtz ni nani utaambiwa, watanzania wanaheshimika Afrika nzima kwa utu, unyenyekevu, uungwana, upendo na kujali, ss hizo lawama zako cjui unazitoa wapi, eti WaTz wana roho mby af Wakenya ndiyo watu safi damn!! hata ww mwenyewe unajishangaa unavyoongea utumbo humu, upendo wa watanzania ni wa enzi na enzi hamuwezi kuupata hata iweje, na ndiyo maana huku hatuna civil wars km nyie, leo nmecheka sn [emoji3][emoji3] eti mkenya ana roho nzuri kuliko mtz dunia simama nishuke, yn mnachukiana wenyewe kwa wenyewe af ndo muwapende wageni...smh [emoji3][emoji3][emoji3]
Donates., my point was on food wakati janga la ukame linakua kali., Tanzania yenye misifa eti wako na chakula hawawezi 'donate' Kenya, we buy, I was merely showing your incapability na ubinafsi., ni domo domo tu.The best 00qpost: 35215085 said:U shud have said that it was just a condolences.
Hakuna kubadili mada, hampendi ukweli., yani hamtaki aibu kabisaa lakini hali iko vile ilivyo, maoni yanyu haitobadilishaππππ, weka mada ingine humu nichangie.,QUOTE="babayao255, post: 35215445, member: 545870"]
Endelea kutumia story za vijiweni kubishana humu...utaendelea kubadilisha mada tu πππ
Mwanza hamna mall ingine??jitahidini mutafika[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1437987View attachment 1437988View attachment 1437989View attachment 1437990
Hapa hutoki dadadeki msikilize raisi wa EAC[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Hizo huduma ziko wapi? , unadhani sitazami taarifa kutoka kwenyu., mko ovyo corona imewafumania., hali ya raiya wengi ni duni, sie tunawepeupe ndio inaonekana vile,njoo uishi Kenya uone ui
Yenyu ni ya kinafiki, wenyewe kwa wenyewe mnachimbana, kwa nje unacheka na mwenzako akiondoka ni udaku tupu., umbeya ndio yenyu.,
Enjoy your sunday kaka. Mnapenda mjadala sana[emoji23][emoji23][emoji23]
A remarks of hope
Hukuona chakula kinapelekwa Zimbabwe na Malawi? ππDonates., my point was on food wakati janga la ukame linakua kali., Tanzania yenye misifa eti wako na chakula hawawezi 'donate' Kenya, we buy, I was merely showing your incapability na ubinafsi., ni domo domo tu.
Nyie c mnajifanya mnapesa, ss tuwape msaada kvp? Wenzenu Zambia, Zimbabwe n.k mbn tunawapa misaada ya chakula, nyie kwasabu ni wajeuri huwa mnaomba tuwauzie basi na cc tunawauzia, ila mkikwama kabisa lazima tuwape chakula cz cc ndio baba wa EADonates., my point was on food wakati janga la ukame linakua kali., Tanzania yenye misifa eti wako na chakula hawawezi 'donate' Kenya, we buy, I was merely showing your incapability na ubinafsi., ni domo domo tu.
Msaidie mwenzakiHii [emoji117][emoji205]ipewe kiti
Send by APOLO 1
Kudandia treni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari kweliMakamanda wnyw c ndo hawa hapa, yn mnataka Magu achukue hatua km anavyofanya uhuru never [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1438374
Kumbe na wewe ni jomba la mwakani piaTuliwaambia 2020 ndiyo mwaka wao wa maumivu, yn waishukuru sn hii covid-19 la cvyo ilikuwa tunamaliza mchezo mapema sn
Which year are we today?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]si mm nimeshangaa pia [emoji23][emoji23][emoji23] alaf wao kila mwaka lazma wasugue gaga na cholera na sio kwamba inawaacha salama
Kamuulize zee la mwakani, mwaka huu, mwezi wa nena, hivi karibuniWhich year are we today?
Huyo ndiye Magu president of EA [emoji3][emoji3]hili swala la fake testing kits usalama wa taifa la kenya halijautambua ila sisi tumelitambua mapema hili jambo. win to us [emoji1241][emoji122]
Waulizeni Waturuki wawarudishe hela zenu. Wakandarasi na wahandisi wakitanzania halisi wangejenga vyema. That thing is utterly ugly wallahi!!!wapi Edward Wanjala ππππ