Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hupajui kaka😂😂😉😂😂 mie nije nikuonyeshe? Ngoja corona (kolona) iishe nije nikutembeze hiyo fishing village yenyu.
taja hapo ni sehemu gani dar 😂😂 unafkiri kuna mabanda ya nguruwe huku yani mzungu asione mabanda uone wewe 😁😁😁 utasubiri miaka 300
 
Kila siku hapa unasema eti unajua Nairobi. Ni Nairobi gani unajua Kama hujui kwamba ukiwa Nairobi West unaona Upperhil yote? Nairobi West na Upperhil zimekaribiana kijana wa tandale so ukipiga picha ukiwa Nairobi West lazima itashika Upperhil, just the same way ukiwa Upperhil ni lazima camera ishike parts of Nairobi West if you are facing that side. This one below for example is a photo taken from uperhill but showing sections of Nairobi West View attachment 1437710
hahaha sasa hii unataka fananisha na ilala au😂😂😂😂😂 aisee munakazi sana nyinyi
 
Kwa hiyo kwa akili yako hiyo kiduchu ulitaka rais awambie wasichape kazi kisa yeye yupo likizo? What a low mind is this!😳😳😳
imewauma sana magu kutofunga mipaka yani wamepigwa bao la kisogoni😂😂😂
 
😂😂😂👇👇👇👇👇
Upper hill ni moto wa kuotea mbali weee
9HdW2yA.jpg
LWlMRBI.jpg
2371034_2271563_1578935008393.png
gettyimages-910464638-2048x2048.jpg
gettyimages-870780352-2048x2048.jpg
 
wanahangaika na mgufuli wakat matatizo kwao ndio yameanza 👇👇👇

 
Usisahau pale makumbusho kuna barabara moja kalii inapita pale, mitaro mikubwa mpk ww unaingia, tena ukiwa umebebwa kichwani pia ghorofa za adabu zinajengwa pale, hebu jaribu cku utoke hapo kenya uje bongo zen pitia pale makumbusho uone tofauti ya kuishi Afrika na kuishi Afrika mpya co unamaliza maisha yako yote kuishi sehemu moja tu
Huyo ni slum addicted

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom