Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duu hii kali kwa hiyo isingekuwa hii pandemic asingewashauri wanaume wa kenya kuwapenda na kuwajali wake zao! Was he really sober or something hot was going on in his head? 😀 😀 😀 😳
😂😂😂😂 laana inawatafuna
 
Hiyo ni parklands gani ambayo kuna msitu pembeni. This is an aerial view of parklands. Nionyeshe hiyo msitu iko wapi hapa
Screenshot_20200502-195445.png
 
That's Muthaiga estate kijana wa tandale. Then kuna Karura forest mbele kidogo and it borders spring valley as you can see in that picture. Karura forest haikaribiani na parklands hata kidogo
hvi wewe unafanya humu watu wapuuzi sana au sio 😂😂😂😂
 
Eti mtu analinganisha Upper hill na zile vigorofa viwili vya Kijikonyama. Watanzania jamani
uhehehe upperhill ina density gani hebu wewe nieleze hapa ikiwa CBD yenyewe haina density itakua upperhill😂😂😂😂
 
Hawa watu wapenda sana pori,come to Nairobi,green city under the sun,so beautiful
Ni wivu tu inawasumbua... The greenery in Nairobi wanaita misitu just because Dar lacks green spaces. Nyumba na apartments za Nairobi Wanasema ni za wazungu just because Dar kumejaa dream houses. The level of hate they spew out here is enough to kill!!!
 
Back
Top Bottom