Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesahau na hizi......
Kcb towers,
rahimtulla towers,
nssf towers,
4th ngong avenue towers,
Delta towers,
world bank towers,
Capitol hill towers,
Victoria towers

And the list is endless...hyo kijikonyama haiwezani 😂 😂 🔫 💉 🇹🇿
Nilishamwambia kijikonyama haifiki hata level ya parklands ila hasikii
 
hvi wewe unafanya humu watu wapuuzi sana au sio 😂😂😂😂
Wewe ndio mpuuzi... Nionyeshe hiyo slum Mwenzako anasema iko parklands kwenye hiyo screenshot umeleta hapo juu. Ubaya ni kujifanya unajua Nairobi kutuliko sisi wenyeji wakati wewe unaishi gongo la mboto kwenye dream house
 
Parklands still. Ichoboy upo??? 😂 😂 😂 😂
2296138_download-23.jpeg
PhotoGrid_1588355932186.jpg
2334146_tapatalk_1583923838619.jpeg
Sameer-Group_September-25-2019-144.jpg
 
Wewe ndio mpuuzi... Nionyeshe hiyo slum Mwenzako anasema iko parklands kwenye hiyo screenshot umeleta hapo juu. Ubaya ni kujifanya unajua Nairobi kutuliko sisi wenyeji wakati wewe unaishi gongo la mboto kwenye dream house
mm nimekuonesha misitu au 😂😂😂😂 mimi nina nyumba ambayo itakuchukua miaka300 wewe kumiliki mbuzi wewe
 
Ni wivu tu inawasumbua... The greenery in Nairobi wanaita misitu just because Dar lacks green spaces. Nyumba na apartments za Nairobi Wanasema ni za wazungu just because Dar kumejaa dream houses. The level of hate they spew out here is enough to kill!!!
, green spaces huku zipo vijijini tu, town utakutana na mti mmoja mmoja tu, mana towers nyng
 
Kumbe alicrop kama kawaida yake 😂😂😂
Parklands borders Muthaiga, the leafy side as you can see in that picture. There's no slum between parklands and the leafy side Muthaiga which you can also see in that picture. Swali ni kwamba: zile vibanda zilikuwa Kwa ile picha ulileta zimepotea wapi kwenye hiyo screenshot ya ichoboy? Where is the slum you were talking about in that screenshot??
 
, green spaces huku zipo vijijini tu, town utakutana na mti mmoja mmoja tu, mana towers nyng
Towers nyingi??? 😂 😂 😂 😂 niletee hizo towers tuone na zisiwe kutoka cbd, Upanga, na kijikonyama coz those are the only places Najua kuna majumba marefu Dar
 
Parklands borders Muthaiga, the leafy side as you can see in that picture. There's no slum between parklands and the league side which is Muthaiga which you can also see in that picture. Swali ni kwamba: zile vibanda zilikuwa Kwa ile picha ulileta zimepotea wapi kwenye hiyo screenshot ya ichoboy? Where is the slum you were talking about in that screenshot??
Kwnz kubali kwmb hii ni Parklands zen nkuoneshe slums huenda nakulaumu bure kumbe uko shortsighted
Screenshot_2020-05-02-13-20-05.jpeg
 
Back
Top Bottom