komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwn kenya ndio ukiwa na hamsini huli katika maeneo ya watu wa chini..Acha ujinga, maisha mepesi nnayosema hapa ni yale ya uswazi ukiwa na buku unakula jero unakula hata 300 unakula, huko obey huwez ishi kwa pesa hzo.
Sent using Jamii Forums mobile app