Mberoya
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 1,314
- 826
Labda angekua raisi wa slums citiesIf Obama were born in Kenya, he never would have become the president of the United States.


Sent using Jamii Forums mobile app
Labda angekua raisi wa slums citiesIf Obama were born in Kenya, he never would have become the president of the United States.


Ndio maana hata akachapisha kitabu , dreams from my father, mbona hakusema dreams from my mother?.Kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa gametes za mwanaume Ndio zinachukua asilimia kubwa katika utengenezaji wa mtoto? Aisee wewe kenge ni mpumbavu. Kuwa proud kuwa ana “ukenya”ndani yake maana ana asili nyingine pia. Ila usiseme kuwa hana uzungu ndani yake. Mitochondria zote alizonazo mwilini mwake zinatoka upande wa mama yake ambaye ni Mzungu. Malezi yake, accent yake vyote ni vya kimarekani. Halafu, uelewe tofauti Kati ya “African American” na “Kenyan”
Sawa, najua kwamba ww ni mkenya upumbavu mmeumbiwa ngj nikukubalie, ok Obama ni mkenya kwahyo ulitaka kumaanisha nini?Nani alisema za mwanamke ndio zinakua nyingi ,it's 50/50 enda usome biology siku zote kwa Mila za kiafrika mtoto anakua wa babaNdio maana hata akachapisha kitabu , dreams from my father, mbona hakusema dreams from my mother?.View attachment 1432305
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni sample tu that I have the capacity to than, show me your MacBook air? And $50 dollars.Because you have $50, TZS 15,000 na MacBook Air? Dah aiseesijawahi kuona show off ya kimasikini kama hii
Nah, kama ulifikiri kuwa kupost hivyo vitu vitamtisha mtu basi kwako vitu hivyo ni luxuryCHio ni sample tu that I have the capacity to than, show me your MacBook air? And $50 dollars.
Sent using Jamii Forums mobile app
uhehehehe unafkiri huku kuna maisha yakinguruwe kama kibera😂😂😂😂We umeona nikitaja hata ubungo? Ubungo pia ni hovyo tu hamna Cha maana pale kitu ambacho kitapea ubungo hadhi ni Ile stendi na barabara ambayo inajengwa lakini upande wa makaazi ni hovyo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Biology kasome wewe. Mitochondria za binadamu yoyote Hutoka kwa mama wabinadamu huyo.Nani alisema za mwanamke ndio zinakua nyingi ,it's 50/50 enda usome biology siku zote kwa Mila za kiafrika mtoto anakua wa babaNdio maana hata akachapisha kitabu , dreams from my father, mbona hakusema dreams from my mother?.View attachment 1432305
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu swali joho ana nini tuanze hapo ni politician ndio anajulikana ana nini?? mbona kenyatta ni politician na tunajua kampuni zakeYeye anamfahamu joho tu Kama gavana wa Mombasa Hana lolote alijuwalo kumhusu Wala biashara zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
kenyatta ni politician na tunajua anamiliki nn na nn what about joho ???😂😂😂😂😂Hilo ndio tatizo lake kubwa, anafanya kumsikia km gavana tu lkn hajui km yule jamaa ana kampuni ngapi zake
Sent using Jamii Forums mobile app
ajibu maswali kwanza alaf aachane sasa😂Achana na hawa vilaza wajitekenye wenyewe. Mbona unasumbuana nao? Eti Obama ni mzungu! Tangu lini??Wivu ni kitu mbaya sana
unajua tulipoanzia mm na huyo kilaza mwenzio ww huoni kwann kanyamaza 😂😂😂 anajua wapi kashadakwaUlipoulizwa kuhusu faida ya Atcl ulisema nini? Didn't you mention turnover?
na hio macbook ya 2007 😂😂😂😂 ndio unauwezo wakuishi tanzania huku zinauza mpaka laki mbiliKwa taarifa yako am not a teacher and I don't live in Tanzania hata hivyo I still have some bucks to keep me in TanzaniaWhy do you want my photo? Anyway uwezo wa kuishi Tanzania ninao Tena kwa maisha mazuri tuView attachment 1432264View attachment 1432265
Sent using Jamii Forums mobile app
macbook yenyewe ya 2007 zinauzwa huku laki mbili😂😂😂😂Because you have $50, TZS 15,000 na MacBook Air? Dah aisee 😂😂😂 sijawahi kuona show off ya kimasikini kama hii
Wewe fala sana nyaunyau. Yaani unatutambia kaMacbook chako na $50? Wewe mkenya wa wapi bwege namna hiyo? KamakibuyuCHio ni sample tu that I have the capacity to than, show me your MacBook air? And $50 dollars.
Sent using Jamii Forums mobile app
macbook ya 2007 huku zinauzwa laki mbili 😂😂😂😂😂 hio ndio show off yakimaskini kuwah kutokea kwenye hii thread😂😂😂CHio ni sample tu that I have the capacity to than, show me your MacBook air? And $50 dollars.
Sent using Jamii Forums mobile app
muulizeni kwanza hio macbook ya mwaka gani kama sio 2007 atuambie hapa😂😂😂😂Wewe fala sana nyaunyau. Yaani unatutambia kaMacbook chako na $50? Wewe mkenya wa wapi bwege namna hiyo? Kamakibuyu
Sent using Jamii Forums mobile app
na wenye vitu kama hvi wasemaje😂😂👇Kwa taarifa yako am not a teacher and I don't live in Tanzania hata hivyo I still have some bucks to keep me in TanzaniaWhy do you want my photo? Anyway uwezo wa kuishi Tanzania ninao Tena kwa maisha mazuri tuView attachment 1432264View attachment 1432265
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia inapima wealth ya mtu in USD bibie siyo hayo madafu yenu ya Kibera. Pamoja na exchange rate ya pesa yenu kuwa juu kuliko yetu lakini bado tunawachapa kwa millionaires na Billionaires. Je unajua maana yake? Tafakari Usikurupuke!
unatuletea macbook ya 2007 huku zinauzwa laki mbili na wenye hzi macbook pro 2019 touch bar wasemaje😂😂👇👇👇Kwa taarifa yako am not a teacher and I don't live in Tanzania hata hivyo I still have some bucks to keep me in TanzaniaWhy do you want my photo? Anyway uwezo wa kuishi Tanzania ninao Tena kwa maisha mazuri tuView attachment 1432264View attachment 1432265
Sent using Jamii Forums mobile app
Niligundua hichi kitu baada ya kuona hiyo rangi na logona hio macbook ya 2007ndio unauwezo wakuishi tanzania huku zinauza mpaka laki mbili


