Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
We umeona nikitaja hata ubungo? Ubungo pia ni hovyo tu hamna Cha maana pale kitu ambacho kitapea ubungo hadhi ni Ile stendi na barabara ambayo inajengwa lakini upande wa makaazi ni hovyo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ubungo si ulitaja au sio wewe[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app