Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Hata usiende mbali dewji alikua mbunge wa singida mjini Kama sijakosea na singida ni kwa wanyaturu na wanyiramba etc katika kabila za singida ni ipi ambayo ametoka dewji,hata Kama akikujibu Hilo kwa hoja nafunga account yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app


