Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nikakuuliza ATCL imeanza operation lini na kq imeanza lini ni akili ndogo tu😂😂 air tanzabia imefufuliwa juzi tu ilikua haina ndege hata moja sasa unataka wanunue hapo hapo na kupata faida bila kurudisha uwekezaji hvi ww akili yako iko sawa kweli sijapata kuona mkenya kilaza wa size yako
Nakuelewa kijana wa tandale. Kitu ngumu kwako kukiri ni kwamba atcl is making losses. Hiyo hutaki kusema hata kidogo 😂 😂
 
ilikufa na ikafufuliwa juzi tu hapa so hata hilo pia unataka kuthibitisha ww ni mpuuzi😂😂 yani ukweli munaujua ila munakwepa aibu
Tangu ifufuliwe imetengeneza faida/hasara ya shilingi ngapi?
 
Nimeitoa kwa jamaa fulani sio mby ku share nanyi [emoji116][emoji116][emoji116]

Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.

Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.

Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.

Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.

Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.

*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*

Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.

Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.

So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.

So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.

Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii
Nimefrahi sana, you have brightened my day kwa positive vibe kama hili.
 
Mansion in 🇹🇿

FB_IMG_1587872257225.jpg
 
Hakika tutashinda
 
Kenya ya wazungu kweli, hapo nimekubali,😂😂😂😂😂
 
Eti tycoon ni mtu tajiri kupindukia...
Njoo kesho nitakuelewesha zaidi..
Mlale salama wan jamvini, leo ilikua siku yangu ya kukesha jf

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu nenda usikie hilo jina tycoon wanaitwa watu wa aina gani ingia google uangalie hahaha joho tycoon😂😂😂😂😂 unajua wakat unaongelea hilo neno sikujua unamkusudia nani kumbe joho never ever
 
Uhalo!! 😂 😂 😂 Nway I might not be an accountant but I know that turnovers are not profits. Endelea kutetea kilaza mwenzako
alieaema turn over ni profit nani mbona hunitag mm 😂😂😂
 
Nakuelewa kijana wa tandale. Kitu ngumu kwako kukiri ni kwamba atcl is making losses. Hiyo hutaki kusema hata kidogo 😂 😂
atcl imeanzishwa juzi usitegemee profit within a short period of time hasa kwenye big investment kama hio 😂😂 muki kwenye game miaka 50 eti bado munamiliki ndege tatu alaf leo munatafuta mchawi wa loss
 
Back
Top Bottom