Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mjini
9b3d3b729bcc79c326654b30f3f3e063.jpg
 
ni kama vile niokote izi picha kwa internet kisha niseme ni dar na wala sio dar ni Mwanza, Tz.
download-10.jpeg
download-11.jpeg

lakini hizo picha za Delbert hazipatikani Kenya nzima
 
Where muna upgrade??????
Hahahhhaha
Hayo majengo sio ya Leo wala ya Jana View attachment 520820
lakini mbona akili yako imegwama hivi? Kibera upgrade ni process iliplaniwa 2012, ikaanza kufanyika 2015,

Kila mwezi mitano majumba 20 hujengwa na kuchukua sehemu ya watu wa Kibera.

Mahali wametolewa hufyekwa na Nyumba zingine ishirini kujengwa.

Shida ya wabongo ni ving'ang'anizi, ukweli ukijitokeza wanaanza vijisababu! Kama tu ilivyokuwa Simba na Nakuru All Stars.

Sio lazima ukubali! Lakini baadaye kidogo utaanza kutafuta vijisababu miaka mitatu tukisha badilisha Kibera!! Uzuri huu uzi utaweza maliza hiyo miaka!
 
let's shift our focus into tourism kidogo;
kenyans i ask you to watch this video, i do hope you will love it...oops!!, sorry you will hate it.
incase you're wondering who is this guy in video,his name is mamadou sakho,Liverpool Fc defender.
 

Attachments

Hivi kuna aibu Africa Mashariki zaidi ya slum za Kenya! Hayo ndio matunda stahiki ya ubepari kwa wasee.
 
maana dar 1590.5 km sq imekusanya nairobi 696 km mombasa 300km sq kisumu 200km sq eldoret 50km sq na waongeze zingine pia bado
Enyewe mtu akibarikiwa na ujinga ni vibaya. Hebu tafuta any comment since hii page ianze where kenyans claim Nairobi is bigger than Dar. Hakuna mtu amekataa but size itasaidia aje bro. Dar is twice as big as New York City, does that prove anything?
 
mleta io picha nimemuuliza ameitoa wapi akaanza kulialia, akakimbia... hapo sio kibera wala hapafanani kabisa
To make it simple for you, download GETTYIMAGES app, then search any these "Nairobi, Nairobi City or Nairobi slum" you will see those pictures with their titles, the only thing that app won't allow you is take a screenshot but you can download them
 
Back
Top Bottom