COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Yaani uko desperate aje??? Haha ety wafungwe jela??Hayo majengo ni ugly kupindukia hao ma architecture wafungwe jela
Yaani uko desperate aje??? Haha ety wafungwe jela??Hayo majengo ni ugly kupindukia hao ma architecture wafungwe jela
Mombasa iko Tz amaHivi Kenya ni Nairobi tu
Sasa mbona hamna cha kujitambia zaidi ya hiyo Nairobi na hiyo mombasa au haina kitu .Mombasa iko Tz ama
mombasa ina nini???? kama zanzibar tu😀😀😀😀😀Mombasa iko Tz ama
mnalala usingizi wa pono,nimeshakwambia Nairobi inaongoza Africa nzima kwa majengo marefumarefu,likiwemo supertall lenye towers mbili refu zaidi,je nyie mko na plans zipi za building a skyscaper of such magnitude??mtatiririka machozi humu na usiahi ikibidiunafkiri under construction zilizo bongo unafkiri mchezo do u think watu wamelala😀😀😀😀😀😀
laleni usingizi wa pono sisi huku miundo mbinu na magorofa utafanyia nini nairobi?Sasa mbona hamna cha kujitambia zaidi ya hiyo Nairobi na hiyo mombasa au haina kitu .
Wakenya bhana watu ovyo sana .
ndio maana hua nawaambia sio ile tanzania ya 90s hii ni 2017 kazi munayo sana....tunajenga kila kona ya 1590.5 kmmnalala usingizi wa pono,nimeshakwambia Nairobi inaongoza Africa nzima kwa majengo marefumarefu,likiwemo supertall lenye towers mbili refu zaidi,je nyie mko na plans zipi za building a skyscaper of such magnitude??mtatiririka machozi humu na usiahi ikibidi
Ebu leta cbd ya Zanzibar...Zanzibar????? Iyo linganisha na Lamumombasa ina nini???? kama zanzibar tu😀😀😀😀😀
bado ndogo sana baba kwa dar inaingia mara 3 kwa dar😀😀😀😀laleni usingizi wa pono sisi huku miundo mbinu na magorofa utafanyia nini nairobi?
lamu kuna nini sasa😀😀😀😀😀 zaidi ya njaa kuna niniEbu leta cbd ya Zanzibar...Zanzibar????? Iyo linganisha na Lamu
Hahhhahaha ona sasa ulivyo mpumbavu unaturingia ghorofa wakati wewe unaishi huko kibera au mathare au kwenye apartment aliyojenga mwanaume mwenzio.mnalala usingizi wa pono,nimeshakwambia Nairobi inaongoza Africa nzima kwa majengo marefumarefu,likiwemo supertall lenye towers mbili refu zaidi,je nyie mko na plans zipi za building a skyscaper of such magnitude??mtatiririka machozi humu na usiahi ikibidi
Hata mfanye yepi,korogakoroga zenu,longolongo zenu na yepi,hakuna siku Dar is slum itafikia ukwasi na ulimbwende wa jiji kuu Africa mashariki na ya kati Nairobi,mji uliosukwa na kutakasika Dunia nzima,hivi watu kule Marekani wanajua kitu kama Dar is slum,au kwao ni ndoto tu?Nairobi inajulikana kotekote dunia nzima,sijui tutawafunza vipi nyie limbukeni wa kutupwandio maana hua nawaambia sio ile tanzania ya 90s hii ni 2017 kazi munayo sana....tunajenga kila kona ya 1590.5 km
Sasa Zanzibar kuna nini zaidi ya uchawi na ulaji wa albino....Mombasa is the 2nd biggest port in Africa after Durban dude...ata Mombasa waweke tower mbili kubwa inashinda dar sasalamu kuna nini sasa😀😀😀😀😀 zaidi ya njaa kuna nini
wajua niishiko wewe limbukeni tupwa tupwa,na jee hata kiingereza wakijua kweli wewe? Nenda kasome economics ili uache ukurupukaji wa maneno yasiyo halisi.Hahhhahaha ona sasa ulivyo mpumbavu unaturingia ghorofa wakati wewe unaishi huko kibera au mathare au kwenye apartment aliyojenga mwanaume mwenzio.
Wakenya ni watu ovyo ovyo sana .
Wewe umeprove hilo.
hahaha sasa mbona unatapika povu sana😀😀😀😀😀.....mm nakwambia go east or west still nairobi itaingia kwa dar mara 3....ule muda wa kujiona superior umeisha sasa hvi nyani haangaliwi usoni😀😀😀😀😀Hata mfanye yepi,korogakoroga zenu,longolongo zenu na yepi,hakuna siki Dar is slum itafikia ukwasi na ulimbwende wa jiji kuu Africa mashariki na ya kati Nairobi,mji uliosukwa na kutakasika Dunia nzima,hivi watu kule Marekani wanajua kitu kama Dar is slum,au kwao ni ndoto tu?Nairobi inajulukana kotekote dunia nzima,sijui tutawafunza vipi nyie limbukeni wa kutupwa
Mmmh!!..Sasa Zanzibar kuna nini zaidi ya uchawi na ulaji wa albino....Mombasa is the 2nd biggest port in Africa after Durban dude...ata Mombasa waweke tower mbili kubwa inashinda dar sasa
English ni lugha tu na sio elimu😀😀😀😀😀😀wajua nishiko wewe limbukeni tupwa tupwa,na jee hata kiingereza wakijua kweli wewe? Nenda kasome economics ili uache ukurupukaji wa maneno yasiyo halisi.
Duh....porojo katika ubora wakeHata mfanye yepi,korogakoroga zenu,longolongo zenu na yepi,hakuna siku Dar is slum itafikia ukwasi na ulimbwende wa jiji kuu Africa mashariki na ya kati Nairobi,mji uliosukwa na kutakasika Dunia nzima,hivi watu kule Marekani wanajua kitu kama Dar is slum,au kwao ni ndoto tu?Nairobi inajulukana kotekote dunia nzima,sijui tutawafunza vipi nyie limbukeni wa kutupwa