Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

soma kichwa cha mada kwanza.
hapa wapi
200561639-001-jpg.520770
 
Wanjala singida ndiyo imepanda daraja haijacheza hata mechi moja ya ligi kuuu. Unajisifia kwa mambo madogo mnooo
Najua ingekuwa ndio imepiga AFC, ungesikia hapa!

Hata Nakuru All Stars ya 2006 imechapa Simba ya 1936.

Acha vijisababu. Mbona Wabongo mnavijisababu kwa kila kitu??
 
Umemaanisha picha kama hizi?
ni lazma uchague ndio uone kibera. aerial view ya jiji la nairobi hauwezi ona kibera. lakini darislum iko 92% unplanned. yani hapa ghorofa,, chini yake mharo ndio maana aerial view yake haileti shangwe
 
pole sana
1200px-nairobi_slums_area-svg-1-png.520760
 
Izi bakora wa Kenya wakiziona machozi yana walenga lenga lakini wanajikaza
Hawana ardhi ,ardhi yote Nairobi inamilikiwa na ma bwanyenye na wananchi wa kawaida wamebaki kuishi kibera au akijikaza zana anaishi kwenye dormitory zilizo jengwa na wanaume wachache uki Nairobi , imagine upo na mke kibera au kwenye dormitory kama student ,its real painful
 
Najua ingekuwa ndio imepiga AFC, ungesikia hapa!

Hata Nakuru All Stars ya 2006 imechapa Simba ya 1936.

Acha vijisababu. Mbona Wabongo mnavijisababu kwa kila kitu??
Sasa hiyo ni tofauti na singida united mkuu hawa wajamaa singida huwezi kulinganisha na hao nakuru wanaexperience na ligi kuuu yenu tena walitumia uzoefu tofauti sana na singida halaf kikosi cha simba wengi wap nje ya nchi kambi kujiandaa na mechi za kimataifa mashindano yenyewe yameshtukizwa hilo nalo huoni??
 
ni lazma uchague ndio uone kibera. aerial view ya jiji la nairobi hauwezi ona kibera. lakini darislum iko 92% unplanned. yani hapa ghorofa,, chini yake mharo ndio maana aerial view yake haileti shangwe
Wote tunajua this picture would have a title of "Jaw dropping Kenyan suburbs" if it was taken by any of Kenyan in JF simply because we wouldn't have seen the background of those buildings
 
Attachments

  • 457983763.jpg
    457983763.jpg
    75.8 KB · Views: 28
Sasa hiyo ni tofauti na singida united mkuu hawa wajamaa singida huwezi kulinganisha na hao nakuru wanaexperience na ligi kuuu yenu tena walitumia uzoefu tofauti sana na singida halaf kikosi cha simba wengi wap nje ya nchi kambi kujiandaa na mechi za kimataifa mashindano yenyewe yameshtukizwa hilo nalo huoni??
Naliona mkuu ila, lishatokea, na kwamba likindikwa kwenye kumbukumbu halitaandikwa kwamba Simba ilikuwa B au A.

Litaandikwa kwamba Nakuru All Stars Waliipiku Simba Kule Dar!

Hayo ndio mambo hutokea kwenye michezo! Ukijua unawasiwasi na kikosi jitoe, lakini ikiingia, ina maana umejipima umejiamini.

Yakitokea usianze kusema, mimi timu yangu ilikuwa B na hawa A, halina uzito hilo kamwe kwenye nyanja hizi
 
Back
Top Bottom