Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wote tunajua this picture would have a title of "Jaw dropping Kenyan suburbs" if it was taken by any of Kenyan in JF simply because we wouldn't have seen the background of those buildings
msee... wacha kuwa desperate... ii si Nairobi
 
Huyu jamaa wa battle hua ananikera. Mkuu, huna mada nyingine ambayo ni educative kuliko huo upupu wako? Im so sorry!
 
Before you drag me to your level... hiyo ni Kibera, Nairobi
haiyaa... ati before nini??? ukishajua maneno mawili ya kiingereza unaona uneza ukayabwaga tu kila sehemu.... kuja na credible source to support your claims.
 
haha... unasema kibera... unakosea View attachment 520779
Where muna upgrade??????
Hahahhhaha
Hayo majengo sio ya Leo wala ya Jana
457983763.jpg
 
Wacha nishike wale mateka na hizi picha,nione limbukeni ni nani
NAIROBI TUKO MBELE HOYEEEEEE!!!!!

33980391862_89b88a4e16_b.jpg


34009615881_0bf7af675b_b.jpg


33328939593_7da67fd9f2_b.jpg


33329121123_8a97931635_b.jpg
_________________
 
nimemshow mwenzako kuwa hapo sio Nairobi na analia. picha ya kwanza pia ameiphotoshop na building zengine hakuna.... wacha kuwa ovyo kama mwenzako. utaanza kuwa irrelevant sasa
Haaahahahah unakataa kwenu sasa😀😀😀
 
hadithi za "paukwa,, pakawa?"
sawa endelea. after 2.5 yrs tutajua mbivu na mbichi
Hahahaha naona unaumia sana kuskia modern electric train inachukua nafas east and central Africa with a speed of 160 km/hr
 
Back
Top Bottom