El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Lol....mkuki tenaMkuki house Dar..over 150 stores,5 cine cinemas, ice rink,I play centre and Bounce trampoline park and conference center View attachment 520917
Lol....mkuki tenaMkuki house Dar..over 150 stores,5 cine cinemas, ice rink,I play centre and Bounce trampoline park and conference center View attachment 520917
hehehe tumeambiwa tusome namba bana....Hahahahahah! Kuna moja nimeona nikacheka sana! "Eti waonee huruma" Ukiangalia ni pavement ya cabro blocks Surely hawa jama wetu huenda ni vile hawajaona mambo mengi! Daaah
kadoda ni mguyz wa mama nitilie usimpatie culture shock...Yeah nmeona unajua vitu ckuexpect uzijue....alafu nlikusho utafute tusker cider iko na taste ya apple![]()
Kuonyesha kwamba wewe ni lofa bwegemtozeni ona unachachamaa kuleta matusi katika forum ya kitanzania nenda ukatukane kwenye miforamu yenu .wewe ndio bwege kwelikweli,ndio maana dhahabu mloibiwa na wale wenye kiingereza halisi kusaini kandarasi imekuwasha kwelikweli.laleni kabisa
Hehehehehe hawana hata nyumba zao walizojenga wenyewe wanaishi kota maisha yao yote hahahahah.jikumbushe kidogo hizo bakora hapo chini nilizowachapa siku kadhaa zilizopita.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hua napenda picha unazopost Ila unahabari flan hv za kuponda kila kitu,sioni logic apo,kuna vitu inabidi ukubali tu sio lazima uangalie maneno yaliambatana na picha! !Hahahahahah! Kuna moja nimeona nikacheka sana! "Eti waonee huruma" Ukiangalia ni pavement ya cabro blocks Surely hawa jama wetu huenda ni vile hawajaona mambo mengi! Daaah
Safi kaka! Nakubali! Nikunyamaza mara hii!Hua napenda picha unazopost Ila unahabari flan hv za kuponda kila kitu,sioni logic apo,kuna vitu inabidi ukubali tu sio lazima uangalie maneno yaliambatana na picha! !
Hiyo Dar yenu tunaona tu nyumba zinakaa refugee camps imezingira mji mzima.Hehehehehe hawana hata nyumba zao walizojenga wenyewe wanaishi kota maisha yao yote hahahahah.
Wakenya watu Wa ovyo sana.
zinakaa daadab au sio?Hiyo Dar yenu tunaona tu nyumba zinakaa refugee camps imezingira mji mzima.
.hizo ndio unasema ndugu
Terminal zipi..unataka utudanganye na ujisifie ..was going on JKIA is refurbishment of old terminals kama ckosei 1d na 1e ...mna terminal 2 tu ..nnacho uliza ni je jkia Inazo jet bridge za ku support a380 ?someone post this guy photos of The JKIA.....
3 More terminals are underway too
The greenfield project that was abandoned around 2014 has been revived. ...just heard the transport cs confirm that funds have already been sourced. ....56 billion Kenya shillings. ..hapa kazi tu......Terminal zipi..unataka utudanganye na ujisifie ..was going on JKIA is refurbishment of old terminals kama ckosei 1d na 1e ...mna terminal 2 tu ..nnacho uliza ni je jkia Inazo jet bridge za ku support a380 ?
It is good for both of us...Ila tatizo lenu nyie mnajifanya mnadharau na mko superior kuliko wote...BTW greenfield haijawa revivedThis Dar is like a city that has been in slumber and suddenly woken up.....
Dar is growing
Nairobi is growing too
Good for the region. ....isn't it.