El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
.....following. ....
To make it simple for you, download GETTYIMAGES app, then search any these "Nairobi, Nairobi City or Nairobi slum" you will see those pictures with their titles, the only thing that app won't allow you is take a screenshot but you can download them
weka link apa kila mtu afungue aone io ni nairobi.To make it simple for you, download GETTYIMAGES app, then search any these "Nairobi, Nairobi City or Nairobi slum" you will see those pictures with their titles, the only thing that app won't allow you is take a screenshot but you can download them
izi ndio unaita slums?Hivi kuna aibu Africa Mashariki zaidi ya slum za Kenya! Hayo ndio matunda stahiki ya ubepari kwa wasee.
NDINDA Basi waonee huruma yeleuwiiiii
Lewis254 ushawahi kuona picha za makazi ya watu Brazil milimani kama Brazil ipo hivyo sembuse bongo.Lakini nadhani unajua kenya mpo list ya kuwa na slums kubwa duniani mkiongozwa na brother yenu Indiani kama vile niokote izi picha kwa internet kisha niseme ni dar na wala sio dar ni Mwanza, Tz. View attachment 520868 View attachment 520871
lakini hizo picha za Delbert hazipatikani Kenya nzima
yeah The Favelas of Brasil... ni sawa na kama ivo vibanda vya Mwanza.Lewis254 ushawahi kuona picha za makazi ya watu Brazil milimani kama Brazil ipo hivyo sembuse bongo.Lakini nadhani unajua kenya mpo list ya kuwa na slums kubwa duniani mkiongozwa na brother yenu India
Yeah nmeona unajua vitu ckuexpect uzijue....alafu nlikusho utafute tusker cider iko na taste ya appleyah nipo media za kenya also last week but one i was commenting directly from nairobi.![]()
nairobi kwangu ni kama second home.
huoni vile tunaringiwa sidewalks tukiambiwa "hii ni bongo ya 2017"...heheheAnd more is happening in Nairobi, Dual carriages till Machakos turn off
![]()
Hahahahahah! Kuna moja nimeona nikacheka sana! "Eti waonee huruma" Ukiangalia ni pavement ya cabro blocks Surely hawa jama wetu huenda ni vile hawajaona mambo mengi! Daaahhuoni vile tunaringiwa sidewalks tukiambiwa "hii ni bongo ya 2017"...hehehe