Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Sure, kitu chenye gharama kwenye dream house ni finishingNairobi zinahesabika wakati Tanzania saivi kila mtu ndio fashion
Unajua gharama za kujenga Tanzania ni ndogo sana, kwenye building materials Tanzania zipo cheap kichizi yaani laiti Tanzania tungekua tuna viwanda vya kutengeneza most of the finishing materials na electronic gadgets za kwenye nyumba ingekua poa balaa
Ila all in all bado cost of having a decent quality home, kwa Tanzania bado ni cheaper sana nafikiri Africa tunaongoza.