Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

demu mbovu sikutaki baba. 😂😂😂. Me silagi mademu wabovu. Mimi nikiwa chalii mdogo ni Diamond mtupu 👇🏾 this is also me 2019 View attachment 3680498unadhani unanijua .? Hunijui 😂😂
Hata mimi naona hutaki madem wabovu.. salimia huyu brother yako
IMG_4187.jpeg
 
Mimi sina picha naezasema ni Kali cause I don't dedicate days for photoshooting like you. Real men don't do photoshooting, ama ni vile ulitoka mashambani ukashtuliwa na mambo ya studios?
Mara ngp umeweka picha zako humu ambazo kiukweli zinachekesha, kuna siku uliweka picha una viatu vya matairi, nilicheka sana cku ile, unajua kwnn nilicheka?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hawa wakenya waache ujinga, tunawazidi vitu vingi sn na hata wao wanajua, sema wanajizima data tu, na ni vile tunawapa airtime kama hapa kwenye hili jukwaa basi wanadhani sisi ni saizi yao, lkn ukweli ni kwamba hakuna ulinganisho baina ya Tz na ke in many aspects.
 
Back
Top Bottom