komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mjengo mmoja wa 001 umewafanya mkaleta mpaka mijengo ya wasanii wenu lkn bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]Yamewashinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmepekua kote mmekosa chochote cha kubackfire eti mmekuja na kisingizio cha mambo ya wanaume [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kaeni hapo niwanyoe mimi ndio kwaaanza shehena haijafika hata robo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vitu Konki Kenya hivi mtavionea kwenye social media tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1241][emoji293][emoji537][emoji3481]
View attachment 1430767View attachment 1430768
Sent using Jamii Forums mobile app