Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo umempa za uso. I didn't see this coming 😂 😂 😂. TKO hiyo
We kenyua tu ila tukifanikiwa kuinvest kwenye viwanda vya finishing materials zaidi hilo gap hamtaweza kucover maana tushawaacha kwenye building materials mbali sana
 
Anyway hayo ya majumba ya wanaume wenzetu hayana tija katika ishu zetu hapa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yamewashinda 😂😂😂😂😂😂

Mmepekua kote mmekosa chochote cha kubackfire eti mmekuja na kisingizio cha mambo ya wanaume 😅😅😅😅


Kaeni hapo niwanyoe mimi ndio kwaaanza shehena haijafika hata robo 😅😅😅😅



Vitu Konki Kenya hivi mtavionea kwenye social media tu 😅😅😅🇹🇿🌠🏡™️

FB_IMG_1587872711139.jpg
FB_IMG_1587872573989.jpg
 
Zishawekwa hapa cna haja ya kurudia we panda juu utaziona
That's typical of bongalalas like you. That's how they talk when they can't prove a point. Kenya can't copy a country like danganyika that doesn't test people exposed to the virus just because they do not show any signs of the disease. Hiyo ni nchi ya kucopy kweli?
 
Back
Top Bottom