ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
diamond nyingine hio😂😂👇👇
diamond nyingine hio😂😂👇👇
yani kwenye majumba ya kifahari wasiguse kabisa wataumia 😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3] wameamua kubaki na msemo wa Hiyo bado, ss watuletee na za wasanii wa kenya.
Meanwhile, Jua kali[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1430639
diamond😂😂👇👇👇
Dingi mtoto atari sn uyo
kimeanza mziki juzi kina nyumba ya kisasa kabisa 👇👇Dingi mtoto atari sn uyo
Hii nchi bhn wameikosea sn heshima kuiweka kundi la ldc, viongozi wetu walizembea mno kuificha hii nchi lkn haistahili kuwa hapo hata kdg, nchi ina kila 7bu ya kuitwa middle Incomehatari sugu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 1430646
lulu diva visanii vya juzi tu👇👇Dingi mtoto atari sn uyo
Ss na ww ukianza kuzipost za kina Ridhiwani, husein Mwinyi, Lowassa asianze kulia lia na kuanza kusema unajaza serveryani politician kenya ndio wanaoishi vzr mm napost nyumba amabzo zinamilikiwa na watu wa kawaida sana yeye kafika kwa joho[emoji23][emoji23]View attachment 1430651View attachment 1430652View attachment 1430653View attachment 1430654View attachment 1430655
sindio hapo sasa😂😂😂😂Ss na ww ukianza kuzipost za kina Ridhiwani, husein Mwinyi, Lowassa asianze kulia lia na kuanza kusema unajaza server
Ali Kiba je?Ila mkuu kwa ommy Dimpoz hata mm nna wasi wasi naye, ana tabia za ajabu ajabu sana yule
Huyo cna taarifa yakeAli Kiba je?
Si ndo alimkutanisha Dimpoz na Joho?Huyo cna taarifa yake
Basi yawezekana anajua mchongo mzimaSi ndo alimkutanisha Dimpoz na Joho?