Hakuna sababu mipangomiji wapo makini kichizi mpaka aina ya structure na positioningHilo eneo naomba pasitokee mtu akaenda kujenga cages km za kenya zitaaribu show kabisa
Nairobi zinahesabika wakati Tanzania saivi kila mtu ndio fashionHizi mijengo ndo huwa wanaishi kina CR7, Beckham, Messi, The late Kobe, Chris breezy and other alikes.
Tuliwaambia hapa kwmb cku tukicharuka kuanza kupost mavitu mapya humu hamtajibu ona sasa wanavyoviziana [emoji3][emoji3]Hakuna sababu mipangomiji wapo makini kichizi mpaka aina ya structure na positioning
Mbweni na penyewe ni dangerous, hizi dream houses zimeota kama mushrooms kule.
Mkuu leo unatamba pekeako humu hakuna mjinga yyte kuingiza pua yake [emoji3][emoji3]
LOL namsubiri shubamiti yeyote anayejitia kidume 😅😅😅Mkuu leo unatamba pekeako humu hakuna mjinga yyte kuingiza pua yake [emoji3][emoji3]
Hahaaa!!eti umesema hilo ndio tolea jipya la airbus sio[emoji1787][emoji1787]Vitu chakavu! !! That airbus helicopters. The a225 I think is not even a year old!!! I not sure about the number, we bought something like 9 or 12. Straight from France! !
Acha ushamba wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala sana wewekomora una chuchu nzuri za kutosha, hata usingizi leo hauji
Hata somalia na south sudan zipo hzoKesho wakenya kaeni mkao wa kula
Nitawaletea segment mpya inaitwa dream houses Tanzania, ndio maana huwezi mlaza mtanzania kwenye broiler cages
Ngoja niwape kionjo cha hizo dream houses
View attachment 1429388View attachment 1429389View attachment 1429393View attachment 1429395
Tuonane kesho......
Hayo mnayoyaita mabweni nashangaa mpaka masaki yapo[emoji1787]We have reason why we can't survive in cages [emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaokaa kwenye mabweni wapite mbali hii sio league yenu wakuda [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Potential Dream House [emoji293][emoji1241][emoji2515]
View attachment 1429899View attachment 1429900View attachment 1429901