The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa watafanyaje na wasanii wao hawana content 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3]
Muziki wa bongo ni kama maji usipo yanywa utayaoga tu na usipo yaoga utayatumia tu kunawa mikono ili ujikinge na corona 😂😂😂Hii ndo naita influence
Hapo ume gonga mzinga wa nyuki, subiri nundu za JNIA na ichoboy 😁😀
Inauma lkn itabidi uzoeee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1428557View attachment 1428559
Hata uswazi watu wanapangavile mumekaririshwa kupanga bedsitter na investors kutoka nje wanawajengea vibanda munapanga humo munasahau maana kua na nyumba yako binafsi mpaka muone hzi ndio munajua estate[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1428525
Hahaaa!!kadanganye wengine, hapo kuna majumba ya kupanga kibao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu hujenga nyumba zao na kumiliki ardhi zao neno kupanga bedsitter huku halipo[emoji23][emoji116]View attachment 1428338
Naona imekuuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]More of Kericho[emoji116][emoji116]View attachment 1428230View attachment 1428233
Hyo kalinganishe na turkanaLOL umeonaeeh check Nairobi roads quality ulinganishe na Dodoma roads quality kwenye hiyo video ya roller kids.
Nairobi na Kenya kiujumla ni kama lami zao ni za matope substandard
LOL Nairobi yenyewe haifui dafu kwa Dodoma road quality.
Kumbe komora ww ni demu mzr hv daahh nlizani dume, hebu tuchekiane PM anti komora
Sikuwa najua aisee kumbe komora ni mwanamke mzr hv [emoji7][emoji7][emoji7]
wanaelekea ethiopia, sio tanzania [emoji1488]