The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Akili kumkichwa with your poor nationMaanake tuachie mungu alivyosema Magufuli na tukae tulaze damu.
Akili kumkichwa with your poor nationMaanake tuachie mungu alivyosema Magufuli na tukae tulaze damu.
😂😂😂👇👇👇👇Sumbawanga, Tabora, Songea,Kigoma hivyo ni vijiji vidogo vidogo. Size yake, number 15 kama Bungoma tu Kenya, hata Bungoma kubwa.
Tunongelea Kericho Town
View attachment 1428211
More of Kericho[emoji116][emoji116]Sumbawanga, Tabora, Songea,Kigoma hivyo ni vijiji vidogo vidogo. Size yake, number 15 kama Bungoma tu Kenya, hata Bungoma kubwa.
Tunongelea Kericho Town
View attachment 1428211
Dar iko mbele ya Nairobi kwa lipi kijana wa tandale?ushasema imeendelea maana yake ilishaendelea huku dar na nairobi bado zina endelea na zina safari ndefu sana kwenye maendeleo 😂😂😂 hata tukiachilia dar kua jiji kubwa east africa bado iko mbele ya nairobi kwenye mambo ya msingi yanayowagusa wananchi moja kwa moja mark my words na ukubali mulijisahau sana
unataka kila kitu uoneshwe huna macho ukajionea 😂😂😂Dar iko mbele ya Nairobi kwa lipi kijana wa tandale?
Shinyanga townSumbawanga, Tabora, Songea,Kigoma hivyo ni vijiji vidogo vidogo. Size yake, number 15 kama Bungoma tu Kenya, hata Bungoma kubwa.
Tunongelea Kericho Town
View attachment 1428211
Huna lolote. Kuokota vipicha hata hujui source. Hii kawaida huwa umeshindwa kupata jibu sasa unahangaika. ungekuwa wakujiamini ungeleta picha ya kulinganisha.More of Kericho[emoji116][emoji116]View attachment 1428230View attachment 1428233
Pambana na hii kwnz [emoji116][emoji116][emoji116]Huna lolote. Kuokota vipicha hata hujui source. Hii kawaida huwa umeshindwa kupata jibu sasa unahangaika. ungekuwa wakujiamini ungeleta picha ya kulinganisha.
Otherwise Kericho if it was in Tanzania, it could have taken Position 3 after Mwanza and Dar. Arusha, apart from EAC hq hakuna chochote. When living in Kajiado i used to take trips to Arusha as many learners in Kajiado came from Arusha. Dusty, rusty, just like Kajiado itself.
Enjoy pics from Kericho
View attachment 1428260View attachment 1428261
Shinyanga town View attachment 1428245View attachment 1428248
Sasa nikikuita mjinga mbona unakasirika and that's exactly what you are? You mentioned a gated community nikakuambia kwamba hizo ziko huku Nairobi nyingi sana hazihesabiki sasa umeruka unaongelea mambo mengine which are totally different from what we were talking about. Si sasa umekubali wewe ni mjinga??Mjinga ni wewe familia zenu za kikunya,angalia mfano hiyo picha,unadhani kuna Mtanzania atakaejitoa ufahamu kudanganya kitu cha kenya kusema ni Tanzania,kama mnaweza kudanganya mengine mtashindwa vipi kudanganya hizo nyumba ziko kwenu!darasa toka lini akawa mkenya hadi mmeshupaa kudanganya!
So you are making claims that you can't even prove 😂 😂 how interesting!unataka kila kitu uoneshwe huna macho ukajionea 😂😂😂
Hii ndio ile headquarters ya waganga na washirikina? Alafu what inspired you to post theses pictures?
Level ya gated community ama level gani??? Kweli wewe kilaza. Gated community ni kitu ya kutaja mbele ya Nairobi???uhehehehe na siku mutafika level hio unitag wanjala😂😂😂😂😂
kila siku tuongee habari hio hio huku unaona na macho yako 😂😂So you are making claims that you can't even prove 😂 😂 how interesting!
uhehehehe naona umekalia kuti kavu mwenzako hajajibu ameona moto mbele unajibu wewe mzee wa BRT😂😂😂😂Level ya gated community ama level gani??? Kweli wewe kilaza. Gated community ni kitu ya kutaja mbele ya Nairobi???
Hebu leta five different gated communities nione kando ya hiyo umeleta hapo juuuhehehehe naona umekalia kuti kavu mwenzako hajajibu ameona moto mbele unajibu wewe mzee wa BRT😂😂😂😂
Dar is just a big fishing village called a city. Bado sana kwa jiji kuu la Afrika masharikikila siku tuongee habari hio hio huku unaona na macho yako 😂😂
Mjinga ni wewe na familia yako yote,kwan huko nairobi hamna waimbaji,mbona mnadanganya watu waimbaji wa Tz ni wa kwenu,mtashindwa vipi na nyumba kusema za kwenu wewe mkibera!Sasa nikikuita mjinga mbona unakasirika and that's exactly what you are? You mentioned a gated community nikakuambia kwamba hizo ziko huku Nairobi nyingi sana hazihesabiki sasa umeruka unaongelea mambo mengine which are totally different from what we were talking about. Si sasa umekubali wewe ni mjinga??
Is Tanzania in a lockdown? Na wale wanaopimwaTanzania wanatolewa wapi if not from quarantine centeres. Is that not target testing? Juzi mlipata 87 positive cases. Where did you get them from?buda, hata hio target testing haina maana kama hampo lockdown.
Covid-19 has an incubation period of 14 days. An infected person will show symptoms within 2-14 days after getting infected so wacha kudanganya eti hampimi mtu. Secondly, an exposed person should be tested after those 14 days regardless of whether they show symptoms or not because there are also asymptomic people so mkiwachilia tu an exposed person aende zake bila kumpima just because haonyeshi dalili za corona ni dhihirisho kwamba hamjui mnachofanya. I hope you know what asymptomatic meanquarantine hatupimi mtu, mtu akionyesha dalili ndo tunapima. kuna watu wanakaa quarantines na wasipimwe
Shy townHuna lolote. Kuokota vipicha hata hujui source. Hii kawaida huwa umeshindwa kupata jibu sasa unahangaika. ungekuwa wakujiamini ungeleta picha ya kulinganisha.
Otherwise Kericho if it was in Tanzania, it could have taken Position 3 after Mwanza and Dar. Arusha, apart from EAC hq hakuna chochote. When living in Kajiado i used to take trips to Arusha as many learners in Kajiado came from Arusha. Dusty, rusty, just like Kajiado itself.
Enjoy pics from Kericho
View attachment 1428260View attachment 1428261