kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Drem house sure,mi swezi ishi uswazi poor ldcwamezoea kujengewa bed sitters na investors alaf wanapanga humo ila ndoto ya kumiliki ardhi ma kujenga nyuma haipo kwenye ubongo kabisa😂😂😂😂
Drem house sure,mi swezi ishi uswazi poor ldcwamezoea kujengewa bed sitters na investors alaf wanapanga humo ila ndoto ya kumiliki ardhi ma kujenga nyuma haipo kwenye ubongo kabisa😂😂😂😂
and the giant is here😂😂😁😁
mumezoea kuona hzi ndio munajua estate😂😂😂👇👇👇Drem house sure,mi swezi ishi uswazi poor ldc
akili ya kumiliki ardhi na kujenga nyuma hamuna mulichobaki ni kupanga kwenye bedsitter za investors pale umoja😂😂😂Drem house sure,mi swezi ishi uswazi poor ldc
Huyo naona hajui hata maana ya uswazi 😂😂😂onesha uswazi hapo tuone naona ww neno uswazi linakuchanganya sana
vile mumekaririshwa kupanga bedsitter na investors kutoka nje wanawajengea vibanda munapanga humo munasahau maana kua na nyumba yako binafsi mpaka muone hzi ndio munajua estate😂😂👇👇👇Drem house sure,mi swezi ishi uswazi poor ldc
washaonesha dalili ya kushindwa tayar😂😂Huyo naona hajui hata maana ya uswazi 😂😂😂
And they are proud of it! na nikifikiria jinsi wanavyo rundikana kwenye hizo estates sipati picha 😂😂😂wamezoea kujengewa bed sitters na investors alaf wanapanga humo ila ndoto ya kumiliki ardhi ma kujenga nyuma haipo kwenye ubongo kabisa😂😂😂😂
lakini kwenye slum ndio wapo 70% alaf 30% including arabs, indians and whites ndio wako kwenye estate za investors😂😂😂And they are proud of it! na nikifikiria jinsi wanavyo rundikana kwenye hizo estates sipati picha 😂😂😂
LOL umeonaeeh check Nairobi roads quality ulinganishe na Dodoma roads quality kwenye hiyo video ya roller kids.Mbona nairobi inakuwa imepauka hivi,why!!!
Ama kweli ww ubongo wako ni mzito, yn kila siku hapa unawekewa mijengo ya adabu iliyojengwa kwa gharama kuliko estate zenu mnazojenga kwa tope na bado unalalamika, basi km hutaki pelekea WB malalamiko yako cz hyo co kazi yng buda.Tuletee hizo estates tuone [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijawahi ona ndege ya polisi ama jeshi kule Tanzania.
View attachment 1428466View attachment 1428467View attachment 1428468
Mbona nairobi inakuwa imepauka hivi,why!!!
Ngoja tuisave hii comment [emoji3][emoji3][emoji3]Hiyo pipeline, wait for 20 more years
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Unaonesha uhalisia ss[emoji3][emoji3][emoji3]Mafuriko ya mvua kubwa itatumaliza Wakenya. Mito imefika ukingoni. Victoria nayo imejaa kutapika.
View attachment 1428475View attachment 1428477
muongezee na hii nyingine