Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mansion in the making....

Dodoma 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Screenshot_20200424-195245~2.png
Screenshot_20200424-195037~2.png
Screenshot_20200424-195149~2.png
 
majority own their land yani usifananishe maisha ya huku na huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuseme kati ya watu million sita dar million tatu kila mtu ana nyumba yake...

Jamaa kujeni, ichoboy kulingana na data zake watu 3m wanamiliki nyumba dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio 3m over 5m wanamilio ardhi hvi ww hujiulizi kwann dar ina watu million 6 na km sq area 1500 while nai ina 5m ina 696 km sq 😂😂😂😂 akili kichwani mwako
 
Tuseme kati ya watu million sita dar million tatu kila mtu ana nyumba yake...

Jamaa kujeni, ichoboy kulingana na data zake watu 3m wanamiliki nyumba dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
uzuri wa dar na tanzania kwa ujumla ardhi ni rahisi sana ndio maana mtu kumiliki ardhi na akajenga nyumba yake ni rahisi sana sio tu ardhi mpaka cement, sand, aggregates ni rahisi sana 😂😂😂 sasa ikiwa robo ya kenya anamiliki kenyataa pekee na robo nyingine ni ya raila na watu wake alaf nusu iliobaki ndio mumeachiwa nyinyi huku kajamba nani munamiliki theluthi ya ardhi 😂😂
 
Kwhyo dar ina nyumba 5m[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
na unajua kwann nimesema sand cement na aggregates ni rahisi sana tanzania kwasababu tanzania ndio inaongoza kwa production ya cement in east africa😂😂👇

F59B6927-5ED1-4CC5-A4E1-E45463D52B25.jpeg
 
Back
Top Bottom