Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu leta five different gated communities nione kando ya hiyo umeleta hapo juu
huku kila mmoja anamiliki ardhi na kujenga nyumba anayotaka yeye hatujashikiwa akili ya kwenda kupanga kwenye estates za investors 😂😂😂 munaishi hamuna hata ndoto ya kumiliki ardhi ndio hata below poverty line kenya ni kubwa sana
 
Dar is just a big fishing village called a city. Bado sana kwa jiji kuu la Afrika mashariki
ndio matumaini yako yalipoishia 😂😂😂 jiji zima halina maji salama alaf unazungumzia kuhusu newyork😁😁 yani muna safari ya miaka 100 ndio maana hata akili zenu zimeganda
 
huku kila mmoja anamiliki ardhi na kujenga nyumba anayotaka yeye hatujashikiwa akili ya kwenda kupanga kwenye estates za investors 😂😂😂 munaishi hamuna hata ndoto ya kumiliki ardhi ndio hata below poverty line kenya ni kubwa sana
I knew you got nothing to say. There are better and bigger housing estates in Nairobi kuliko hiyo Avic town yako and they are so many. Don't ever say eti tutafika hiyo level lini coz hayo ni mambo tumezoea huku
 
alaf wako hapa kushindana na dar😂😂👇
watu walikua bzy na kujitenga kujenga nchi yao leo ni ushuzi wa nguruwe

ndio matumaini yako yalipoishia 😂😂😂 jiji zima halina maji salama alaf unazungumzia kuhusu newyork😁😁 yani muna safari ya miaka 100 ndio maana hata akili zenu zimeganda
Sijawahi kosa maji mahali naishi
 
I knew you got nothing to say. There are better and bigger housing estates in Nairobi kuliko hiyo Avic town yako and they are so many. Don't ever say eti tutafika hiyo level lini coz hayo ni mambo tumezoea huku
watu hujenga nyumba zao na kumiliki ardhi zao neno kupanga bedsitter huku halipo😂👇
6BB7D3B0-A707-4C86-9D10-9CBD3A697F1C.jpeg
 
I knew you got nothing to say. There are better and bigger housing estates in Nairobi kuliko hiyo Avic town yako and they are so many. Don't ever say eti tutafika hiyo level lini coz hayo ni mambo tumezoea huku
We jamaa kweli shujaa yn unapingana na mzungu aliyekufundisha kujenga estate au huelewi kingereza nkutafsirie [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1586713716007.jpeg
 
Back
Top Bottom