Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna nchi duniani ina policy ya ardhi ya kibinafsi na yakikatili kama kenya ndio maana mtu mmoja kenyatta anashikilia robo ya kenya hapo bado raila bado wale politicians na wafanyabiashara wakubwa 😂😂😂 sijui wale kajamba nani watamiliki nini
 
We mbona 1.6 mln tonnes per year ni kiasi kidogo sana? Ninavyojua Tanzania ina-produce over 10 mln tonnes per year!
nimempa statistics ya zamani kidogo afahamu kwann mtu kujenga na kumiliki ardhi tanzania ni rahisi sana
 
Na hizi?

Choppercrash1105tr.jpg


hqdefault.jpg


wtylcrshmrsb157d5a05b31e21.jpg


kork9kpTURBXy8zMzlkNTc5MTlkNGUwZjkyMWZhZGZkNTE1NTBjMDMxYy5qcGeSlQMAAc0C2s0BmpUCzQMHAMPDgqEwAaExAQ


helicopter-crash.jpg
Unatafuta pa kutokea sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli ni kwamba mnamiliki vyuma chakavu[emoji382][emoji382][emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na unajua kwann nimesema sand cement na aggregates ni rahisi sana tanzania kwasababu tanzania ndio inaongoza kwa production ya cement in east africa[emoji23][emoji23][emoji116]

View attachment 1429202
Tunaongelea idadi ya nyumba dar hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti umesemaje vile??
Dar watu 5m wanamiliki nyumba[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaongelea idadi ya nyumba dar hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti umesemaje vile??
Dar watu 5m wanamiliki nyumba[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
nakupa na chanzo cha kwann ujenzi ni wakutosha dar 😂😂😂 kama huna ndoto ya kumiliki ardhi usihuzunike vumilia💉💉💉

watu tuna ardhi na tumejenga vile vile
 
Wazungu wana dharau sana eti wanasemema "TUNATAKA CHANJO YETU YA COVID-19 IFANYIWE MAJARIBIO NCHINI KENYA"

Yaani wanataka,sio kuomba WANATAKA!!!! ni lazima TUNATAKA...
 
Kesho wakenya kaeni mkao wa kula

Nitawaletea segment mpya inaitwa dream houses Tanzania, ndio maana huwezi mlaza mtanzania kwenye broiler cages

Ngoja niwape kionjo cha hizo dream houses

View attachment 1429388View attachment 1429389View attachment 1429393View attachment 1429395


Tuonane kesho......
Lazima wakohoe mwaka huu, wkt tukiendelea kupambana na covid-19 dozi zinaendelea tu, tuliwaambia kuna mambo mengi ya kushangaza ya Tz ila bado hayajawekwa humu wakabisha, nadhani saivi wataanza kuelewa kwnn mzungu kasema Dar iko mbele ya Nairobi kwa value za estates? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom