Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hv unadhani hapo akipanda mtu mwenye kilo 100 patabaki salama hapo?[emoji116][emoji116]
tapatalk_1586693263246.jpeg
 
Wabongolala tunawajua kwa domo tu...Amalia apartments syokimauView attachment 1417512View attachment 1417514

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tundu za ndege zipo kibao huko Geza Ulole wamekosa wapangaji sasa hivi hadi wameshusha bei na bado watu hawazitaki.
Nyingine zipo Kijichi hadi Magufuli kawapa wanafunzi waishi na nyingine kawapa watumishi wa Halmashauri.
Nyingine zipo Dege hata kumalizia wanaona haina maana Wabongo hawapendi kuishi kwenye viota.
 
project nzuri, agawe moja kweny kamati ya Majaliwa kama msaada then nyingine auze .. zikae vituo vya BRT, kivukoni etc

ila, is this effective? 🤭.. yan hao wazungu wa nje wameshindwa kweli kufanya haya?
Kaka wazungu ni wazuri wa kuiba maarifa yetu, bulb zilizinduliwa na mtu mweusi, traffic lights ni mtu mweusi tena mghana, 😂😂
 
project nzuri, agawe moja kweny kamati ya Majaliwa kama msaada then nyingine auze .. zikae vituo vya BRT, kivukoni etc

ila, is this effective? 🤭.. yan hao wazungu wa nje wameshindwa kweli kufanya haya?
Design ya hii inahitaji modification tunnel is more appropriate hii haijakaa kuhudumia watu wengi kwa haraka!
 
Wanapenda kuishi kwenye mabanda?
Hizo tundu za ndege zipo kibao huko Geza Ulole wamekosa wapangaji sasa hivi hadi wameshusha bei na bado watu hawazitaki.
Nyingine zipo Kijichi hadi Magufuli kawapa wanafunzi waishi na nyingine kawapa watumishi wa Halmashauri.
Nyingine zipo Dege hata kumalizia wanaona haina maana Wabongo hawapendi kuishi kwenye viota.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar ina maeneo mengi sana,,, endelea kujifurahisha

ila hii ndiyo definition ya ujenzi kwa hapo nairobi[emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnamaisha ya dampo kabisa.....
jione upo kijiweni hapo unapiga plani za kwenda kuvizia free wi-fi town lakini corona imekukomoaView attachment 1417902View attachment 1417904View attachment 1417905View attachment 1417907View attachment 1417908View attachment 1417909View attachment 1417910View attachment 1417912View attachment 1417913View attachment 1417914View attachment 1417915View attachment 1417916View attachment 1417917View attachment 1417918View attachment 1417920

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wanapaita Misri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom